JEKI
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 4,845
- 2,968
- Thread starter
- #21
Ukali wa mwanamke ndio mnyooko wa mwanaume au ulikua HUJUI?Wanawake hamuishiwi maneno kabisa. Mkiambiwa ukweli mnakuwa wakali hatari sijui kwa sababu gani mnakuwa hivyo.
Mbona tunashuka sana, ndo maana kila siku mnalia.Wanaume wa miaka hii walalamishi sana,kama hujui unakopelekwa si ushukie njiani? Kwani mama yako huyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzoefu wako sio wa nchi hii[emoji3] [emoji3]Wanayo, hawayatumii kule
Ndo maana tunawakomesha.Wanawake hamuishiwi maneno kabisa. Mkiambiwa ukweli mnakuwa wakali hatari sijui kwa sababu gani mnakuwa hivyo.
Ushasema tunawapeleka wapi, hatuwaachi mtaenda tu hata kwa kuburuzwa
Ninafuga punda na farasi kwahiyo wakifikia huko naweza kupiga pesa kwa kuwakodishiaNawe unataka?
Imekuaje hadi umemuulizia? Kuna usalama kweli mangi!!!!Hahahahahahaha
Kijana hatari sana yuleé!!
Hahahhaah!!Imekuaje hadi umemuulizia? Kuna usalama kweli mangi!!!!
We ni mbishi utanisumbua sana tehTeh teh teh teh
Na mimi niweke kwenye hio list yako ya wapelekwa Misri.
Mmmh hapo unanisingiziaUzoefu wako sio wa nchi hii[emoji3] [emoji3]
Sio kwa cheko hilo kuna kitu naja chembaHahahhaah!!
Stori yake ndefu sanaaaa.
Si unajua hili ni chaka la washenzi???😂😂😂😂
Usalama upo mama!!
Tunawapeleka Misri
Wanawake wanaolilia wanaume ni wapumbavu kama wanaume wanaolilia wanawake