Wanawake kuweni` responsible`

Wanawake kuweni` responsible`

Life is not that simple... Katika ulimwengu wa leo tunakutana na watu hata hatujui backgrounds zao wala wao zetu. Unaingia katika mahusiano nakuwa pamoja hata a year.. Siku yakifumuka unagundua huyo mtu ni total stranger! Hata jina sio lake...
 
beware, siku hizi kuna matapeli.
matapeli kweli wapo,lakini `fact will remain`

wanawake wengi sana mjini na vijijini wanateseka na malezi ya watoto baada ya kukimbiwa na wazazi wenzao.
 
na mimi ninachosema ni kwamba ni kwa nini wanaume msichukue tahadhari kama
tayari mnayajua hayo? Kwa nini umtese mtoto wa mtu kama unajua hutatunza?

Sikia bana tukiendelea kurushiana mpira hapa hatutafika mbali. Yes ni jukumu la wanawake
kujinginga na mimba ambazo hazijapangwa pamoja na magonjwa ya zinaa na pia na tena nasisitiza
ni jukumu la mwanaume kujinga pia.

Na ndio maana huwa napenda kusema .
Condom ibebwe na msichana pamoja na kijana.
Maana tukisema tusifanye mapenzi mmmmmmhhh nikudanganyana huko.

Oohh kitu kingine.
Kuna wanawake wengine hawakupata mimba sababu ya starehe.
Fikiria kuhusu walio bakwa.

Kwa hiyo usitupe lawama kwa kila mwanamke anaeomba msaada.
uko sawa sister,wako waliobakwa.......lakini hao ni sehemu ndogo sana ya wanawake ninaowazungumzia.
Labda hasira zinanipanda kwa sababu kuna mtoto wa kaka yangu naye kafanya ujinga huo huo........kapewa mimba halafu hata hajui hatima yake.
 
sidhani kama nimewapaka wanawake,ninawaonea huruma kwa sababu wanabeba mzigo unaotokana na uzembe wa mwanamme na mwanamke.kwa hiyo wewe kaka huwezi kumtambua mtu mwema?if so basi una tatizo.

Kama ni uzembe umesababishwa na wote wawili, sioni sababu ya kumkasfu mmoja tena kwakumuita ombaomba angali starehe walifanya pamoja vipi kwenye shida umkimbie mwenzako.
Pia anafanya hivyo ili kuweza kuendesha maisha yake pamoja na wanae aliotelekezewa na mwanamme.

Kuhusu kumtambua mtu mwema mimi naweza kumtabua kwa tabia yake, nini hupendelea n.k,
But sometime mtu huweza kuvificha hivyo vyote ili aweze kupata akitakacho na mwisho wake kukuacha solemba.
 
life is not that simple... Katika ulimwengu wa leo tunakutana na watu hata hatujui backgrounds zao wala wao zetu. Unaingia katika mahusiano nakuwa pamoja hata a year.. Siku yakifumuka unagundua huyo mtu ni total stranger! Hata jina sio lake...
kuna siku nilikuwa tabora kwenye stesheni ya treni,kwa kawaida treni ikifika tabora`enzi zile`ilikuwa inagawanyishwa ili kipande kimoja kiende kigoma na kingine mwanza..........kwa muda huo wa masaa kama mawili huwezi amini kuna dada mmoja ambaye alikuwa anasafiri alirubuniwa na mtu pale tabora na akakubali kutoka naye.........ni kweli watu huwa wanaficha makucha,basi mjue mtu angalau kwa mwaka,akikukimbia tutajua tatizo sio wewe.
 
uko sawa sister,wako waliobakwa.......lakini hao ni sehemu ndogo sana ya wanawake ninaowazungumzia.
Labda hasira zinanipanda kwa sababu kuna mtoto wa kaka yangu naye kafanya ujinga huo huo........kapewa mimba halafu hata hajui hatima yake.

Okay sasa nakuelewa.
unajibu na kutoa maoni huku ukiwa na hasara .

unajua ni watu wengi sana wameingia kwenye huo mtego .
Vijana wengi sana nikimaanisha jinsia zote mbili . Na wengi wanaingia
kwenye matatizo kama hayo sababu ya elimu duni ajili kuhusu "Sex"

Huwa tunatabia yakuwatisha watu .
Ukifanya sex utapata Ukimwi au mimba in worse case scenario vyote viwili...
hiyo haiingili akilini. Kama vitisho havifanyi kazi nini kinatakiwa kifanyike?

Na mpa pole mtoto wa kaka yako.
ila sio mwisho wa dunia kupata mimba.
 
Na mimi ninachosema ni kwamba ni kwa nini wanaume msichukue tahadhari kama
tayari mnayajua hayo? Kwa nini umtese mtoto wa mtu kama unajua hutatunza?

sikia bana tukiendelea kurushiana mpira hapa hatutafika mbali. Yes ni jukumu la wanawake
kujinginga na mimba ambazo hazijapangwa pamoja na magonjwa ya zinaa na pia na tena nasisitiza
Ni jukumu la mwanaume kujinga pia.

Na ndio maana huwa napenda kusema .
Condom ibebwe na msichana pamoja na kijana.
Maana tukisema tusifanye mapenzi mmmmmmhhh nikudanganyana huko.

oohh Kitu kingine.
Kuna wanawake wengine hawakupata mimba sababu ya starehe.
Fikiria kuhusu walio Bakwa.

Kwa hiyo usitupe lawama kwa kila mwanamke anaeomba msaada.

Ninachokiona hapa ni mvutano wa gender ambao kimsingi hauna maana wala hauwezi kuleta tija katika hili, wanaume tuna nafasi kubwa ya kuhakikisha watoto wote tunaozaa nje ya ndoa au tunaozalisha hovyo kwa wanawake tusiokuwa na malengo nao tunatoa huduma na matunzo mazuri, kwa wanawake wote ni muhimu kuwa makini na ngono zembe coz mwisho wa siku wao ndio wanaobeba mzigo wa malezi ya watoto. Ngono isitumike kama mtaji wa kupunguza ugumu wa maisha ila iwe ni sehem ya starehe na faraja kwa wapendanao. Yanini uzae na mtu usiekuwa na malengo nae. Ieleweke kuwa hakuna mtoto wa bahati mbaya coz kwa kuamua kuzini au kufanya mapenzi unakuwa unajua athari na outcomes zote za tendo hilo. Tubadilike jamani kuwa na watoto wachache unaoweza kuwahudumia na pia tuwajibike kwa watoto tuliokuwa nao sio kesho unajiua na kuacha mzigo kwa ndugu na wanajamii kwa ujumla, Maisha magumu jamani.
 
Life is not that simple... Katika ulimwengu wa leo tunakutana na watu hata hatujui backgrounds zao wala wao zetu. Unaingia katika mahusiano nakuwa pamoja hata a year.. Siku yakifumuka unagundua huyo mtu ni total stranger! Hata jina sio lake...

Hilo ndilo swali la mleta mada. Ni kwa nini uingie kichwakichwa kwa mtu ambaye hata umfahamu unapanua miguu mpaka mimba? kisa ana gari au suti imempendeza n.k
 
No comment, ila hata na sisi wanaume tunawapa flowery promises
 
Hapa naona umesimama upende mmoja tu! Kwa nini ukijiuliza kilicho wafanya baba wao watoto kuwakimbia, pengine wanakimbia majukumu yao!

Hapa hata wababa lazima wawe responsible wanapo hamua kuleta viumbe duniani!

Jana katika pitapita zangu nilikutana na mwanamke aliyebeba mtoto mgongoni akiomba msaada kwa wasamaria wema ili mtoto wake akatibiwe malaria.yule mama alikuwa akilalamika kuwa mtoto wake pamoja na yeye hawakula toka jana,baba wa mtoto kamkimbia.nilipojaribu kumdadisi zaidi nikagundua kuwa yule mama hajui hata nyumbani kwa mzazi mwenzie..........mara nyingi pia nimeshuhudia ombaomba wakiomba msaada barabarani,lakini cha kushangaza ni kuwa unaweza kukuta mama anayeomba msaada barabarani ana watoto watatu wadogo.sasa unajiuliza hivi kweli mtu huyo yuko `responsible`?kwani ,kwa mfano unapofikiria kuzaa usifikirie pia jinsi ya kulea watoto wako?nani anapaswa kukulelea watoto wako?unaweza kukuta huyo msamaria mwema unayemuomba msaada yeye ana mtoto mmoja sio kwa kupenda ila ugumu wa maisha.kwa nini mnajirahisi hivi?
 
Starehe ya maskini ni moja tu.....
ndo maana unakuta mtu ni ombaomba analala road na ana msululu wa watoto, so sad!!!!!!!

Leo nimepata msamiat "starehe ya maskini ni moja tu" source evelyne salt


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Tusiwalaumu, pengine hawajui chochote kuhusu uzazi wa mpango.
 
Back
Top Bottom