Karibu sana kijanaMrejesho namba 1:..
Aka kasengee saizi kanawapigia Akina Mama zetu kanajifanya kulia lia,kanasema Et Mahari warudishe karudi Kwa Bro .
nawapeni hii... Aka kademu Kuna kipindi kaliumwa sana , Mama yake Bro anahangaika Nako Sanaa ,zunguka Nako sana , kalikua na Tatizo lakiafya lilokaanza utotoni, tatizo hatimaye likaisha.
Lkn haya yote ni bure [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
'Kenyewe' ndio kamemuonyesha Mkufunzi nyumbani kwao mpaka akaenda kutoa mahari kwa hiyo kalisha fanya maamuzi ya kumpiga chini jamaa.Mrejesho namba 1:..
Aka kasengee saizi kanawapigia Akina Mama zetu kanajifanya kulia lia,kanasema Et Mahari warudishe karudi Kwa Bro .
nawapeni hii... Aka kademu Kuna kipindi kaliumwa sana , Mama yake Bro anahangaika Nako Sanaa ,zunguka Nako sana , kalikua na Tatizo lakiafya lilokaanza utotoni, tatizo hatimaye likaisha.
Lkn haya yote ni bure [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawawezi kuacha maana wana shingo ngumu,miaka na miaka wanaambiwa mchumba hasomeshwi ila hawaelewi itakuwa leo?Uzi wako utasababisha watu waache kuwatunza wachumba wao[emoji26]
Kesho si Jumamosi we huijui vipi tena😁😁Msamehe, endelea na maisha. Hamna aijuaye kesho.
Angekua mbali sana,km ni nyumba angekua ameshaipauaNa hizi gharama ndo muhimu
Mfano, angezipeleka kwenye Shughuli fulan, siangekua mbalia
Kama ilikuwa hivyo, ni wazi huyu Binti akiolewa na Mkufunzi hawezi kuishi kwa amani kila akikumbuka alipotoka. Mambo aliyofanyiwa na Bro yataendelea kukaa moyoni mwake na atateseka sana kihisia na usaliti alioufanya.Mrejesho namba 1:..
Aka kasengee saizi kanawapigia Akina Mama zetu kanajifanya kulia lia,kanasema Et Mahari warudishe karudi Kwa Bro .
nawapeni hii... Aka kademu Kuna kipindi kaliumwa sana , Mama yake Bro anahangaika Nako Sanaa ,zunguka Nako sana , kalikua na Tatizo lakiafya lilokaanza utotoni, tatizo hatimaye likaisha.
Lkn haya yote ni bure [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
HakikaUkimsomesha usiwe na uhakika kama utampata, fanya nusu kwa nusu ili yakikupata usiwaze sana. Ni kama msaada ujue huenda unamsomesha mke wa mtu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wee acha MkuuKama ilikuwa hivyo, ni wazi huyu Binti akiolewa na Mkufunzi hawezi kuishi kwa amani kila akikumbuka alipotoka. Mambo aliyofanyiwa na Bro yataendelea kukaa moyoni mwake na atateseka sana kihisia na usaliti alioufanya.
Jaribu hii ya huyu mwamba kama itakufaaHuyu ndugu yangu ambaye kwangu ni kaka, alikapata kadem kakiwa kidato cha nne kakawa kamefaulu ushindi wa kukapeleka vyuo vya kati.
Jamaa akafanya mpango, akakatafutia shule ya private, kidato cha tano mpaka sita, huku akikalipia ada, na mazaga zaga kama yote kakafaulu nakuingia chuo kikuu.
Jamaa akatambulisha kale kadem kwa akina familia zetu na ukoo kwa ujumla.
Demu akaingia chuo kikuu fulani hapa nchini kwa bahati mbaya hata mkopo akakoswa .
Jamaa akaendelea kulipa ada, na gharama zoteeee kwa huyu mke mtarajiwa
Mwaka jana, mwezi 8 tukaenda kutoa kishika uchumba kwao na mwanamke!
Kumbe demu alivyokua pale chuo, akaanzisha mahusiano mapya na mkufunzi wake
[Emoji117]ndugu zangu, juzi ,juzi juzi hiii ya jumatano, huyu mkufunzi kaenda kutoa mahali kimya kimya kwao na demu na wameipokea milioni 2.
Hata sisi kujua, tumejua kwa bahati bahati tu maana walitaka iwe siri.
Kwa kuzingatia muda na pesa alotumia kama sehemu ya uchumba huyu kaka yetu
Ushauri wenu hapa, utasaidia lkn ushauri wenu uegemee mambo mawili tu
1- Kisheria, unawezaje kupata fidia? Maana miaka mitano sio mchezo
2 - Ni adhabu ya kijadi/kiganga tumpe huyu mbwa? (Binafsi niliwaza tumfanye awe malaya kwelikweli au tumpe mkosi ambao hatokaa kupata mume)
Haiwezekan awafadhaishe sana wazazi wetu, na kutia aibu. Unyama unyama, haki ni mbinguni.
Mrejesho nitawaletea!
exactly . kanafaa kutafutiwa njia ya kukomolewa, ni kajinga hakafai na wazazi ni hovyo pia'Kenyewe' ndio kamemuonyesha Mkufunzi nyumbani kwao mpaka akaenda kutoa mahari kwa hiyo kalisha fanya maamuzi ya kumpiga chini jamaa.
Hata kama wazazi watamrudishia mahari mkufunzi lakini bado hakastahili kuolewa na jamaa sababu tayari kashasaliti huku akijua amechumbiwa kosa ambalo kanastahili kuachwa bila kuangalia kametolewa mahari au la.
hata wafalme wa kwenye biblia walikuwa na wengi, wewe ni nani uwe na kamojaHapo ndo alipofeli
Tishakubaliana Mwanaume kua na mwanamke mmoja ni kujilemaza
Sasa hiyo familia walipokeaje hiyo mahari.. Hiyo familia hawana akili na familia hiyo itakuwa inaongozwa na mwanamkeNdio wanaleta habari za kurudisha Mahali ya Mkufunzi
Lkn Mimi japo sio muoaji, nmemwambia JAMAA, APIGE CHINI JUMLA.
ila tukape Adhabu maana hakafai