Sang'udi
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 9,388
- 23,036
Nice guys ndio wanaongoza kusumbuliwa na mapenzi.Vya kufanyika vipo Man, DUNIA ni hiii hii .
Unajua Bro, ni wale wanaume wema sana yaan wale ambao akipata demu, anatulia tuliiii.
Nice guys ndio wanaongoza kusumbuliwa na mapenzi.Vya kufanyika vipo Man, DUNIA ni hiii hii .
Unajua Bro, ni wale wanaume wema sana yaan wale ambao akipata demu, anatulia tuliiii.
mi naona kama huyo binti kaanza kuomba msamaha hii tayari ni mada nyingine ,maana mapenzi hayashauriwi mkuu unaweza mshauri bro amwache mazima ,kitu ambacho ni sahihi lakini bro yeye akaamua kukasamehe na maisha yakasonga .sema maadam swala lipo kwa wazazi na wenyewe kama tujuavyo wameona mengi basi watoe busara zao na kumsihi bro azifuate tu.Ndio wanaleta habari za kurudisha Mahali ya Mkufunzi
Lkn Mimi japo sio muoaji, nmemwambia JAMAA, APIGE CHINI JUMLA.
ila tukape Adhabu maana hakafai
Nakazia hapa..aachane na kisasi chochote..japo kishirikina au stail yoyote ya kulipiza inawekana.Kisheria hakuna adhabu inayomhusu kwakuwa alikuwa mchumba tu.
Huyo jamaa aweke akilini kuwa alikuwa anamsomesha mtoto yatima. Atapata thawabu kwa MUNGU
Usahuri wangu: Jamaa akubali kumuacha aolewe, wala asimchukie. Kwakuwa Demu ameolewa na mtu mwenye fedha, jamaa ageuke kuwa X, Awe anapiga mechi za ugenini kisha atumie akili kidogo tu, fedha zake zote alizotumia ataona zitarudi. Tena huyo Binti anaweza hata kumbebea Mimba yake akiwa hukohuko kwa mumewake.
Wanawake akili zao ni tofauti na sisi wanaume tunavyowafikiria.
Nice Guy Hawa ,Huwa hawaelewiMchumba hasomeshwi lakini watu hawasikiagi.
Daahh haya mambo ya msamaha na umepigwa hasaraMsamaha ni adhabu ya pekee kwake
Mrejesho lazima, maana jambo bado lamoto Kwa Sasa.Subcribed kusubiri mrejesho
Akisamehee ni yeye Mkuu ila nitamdharau sana.mi naona kama huyo binti kaanza kuomba msamaha hii tayari ni mada nyingine ,maana mapenzi hayashauriwi mkuu unaweza mshauri bro amwache mazima ,kitu ambacho ni sahihi lakini bro yeye akaamua kukasamehe na maisha yakasonga .sema maadam swala lipo kwa wazazi na wenyewe kama tujuavyo wameona mengi basi watoe busara zao na kumsihi bro azifuate tu.
Badilikeni. Wachumba Saba Saba wa nn??Viherehere
wazazi wanaweza mshauri aendelee naye mkuuAkisamehee ni yeye Mkuu ila nitamdharau sana.
Yaan Ukoo wote wameshajua ili jambo, alafu Leo hii ubebe Tena aibu???
Nyie tulieni wala msidai chochote, huyo dada atafunzwa mbele ya safari.Nice Guy Hawa ,Huwa hawaelewi
Mwanaume makini hatajali haya ya mtoa mada… i mean hatoyabeba aende akayafanye in real lifeUzi wako utasababisha watu waache kuwatunza wachumba wao[emoji26]
Dada anaomba msamaha yule bwana ake wa chuo wamepigana chini ama nini kimetokea??Daahh haya mambo ya msamaha na umepigwa hasara
Hapo ndo alipofeliVya kufanyika vipo Man, DUNIA ni hiii hii .
Unajua Bro, ni wale wanaume wema sana yaan wale ambao akipata demu, anatulia tuliiii.
Ndugu yako alishaichukulia pesa yake poapoa toka alipoanza kuwekeza pesa yake kwa huyo malaya badala ya kuwekeza kwenye soko la hisa.Ok, kwahiyo Kishika Uchumba nacho tupotezee?
Mi nadhan wakati mwingine Umasikini tunajitafutia wenyewe Kwa kupuuza fedha zetu na kuzichukulia poa poa.
Ashukuru sana, sababu hata hiyo familia ya binti inaonekana ni kifuu na automatically bint atakuwa kifuu twice sababu kalelewa na watu vifuu wanaoendekeza mali kuliko utu kulingana na story yako hivyo angezidi kumpotezea muda tu.Huyu ndugu yangu ambaye kwangu ni kaka, alikapata kadem kakiwa kidato cha nne kakawa kamefaulu ushindi wa kukapeleka vyuo vya kati.
Jamaa akafanya mpango, akakatafutia shule ya private, kidato cha tano mpaka sita, huku akikalipia ada, na mazaga zaga kama yote kakafaulu nakuingia chuo kikuu.
Jamaa akatambulisha kale kadem kwa akina familia zetu na ukoo kwa ujumla.
Demu akaingia chuo kikuu fulani hapa nchini kwa bahati mbaya hata mkopo akakoswa .
Jamaa akaendelea kulipa ada, na gharama zoteeee kwa huyu mke mtarajiwa
Mwaka jana, mwezi 8 tukaenda kutoa kishika uchumba kwao na mwanamke!
Kumbe demu alivyokua pale chuo, akaanzisha mahusiano mapya na mkufunzi wake
[Emoji117]ndugu zangu, juzi ,juzi juzi hiii ya jumatano, huyu mkufunzi kaenda kutoa mahali kimya kimya kwao na demu na wameipokea milioni 2.
Hata sisi kujua, tumejua kwa bahati bahati tu maana walitaka iwe siri.
Kwa kuzingatia muda na pesa alotumia kama sehemu ya uchumba huyu kaka yetu
Ushauri wenu hapa, utasaidia lkn ushauri wenu uegemee mambo mawili tu
1- Kisheria, unawezaje kupata fidia? Maana miaka mitano sio mchezo
2 - Ni adhabu ya kijadi/kiganga tumpe huyu mbwa? (Binafsi niliwaza tumfanye awe malaya kwelikweli au tumpe mkosi ambao hatokaa kupata mume)
Haiwezekan awafadhaishe sana wazazi wetu, na kutia aibu. Unyama unyama, haki ni mbinguni.
Mrejesho nitawaletea!
Umeongea hekima sana. Mungu atamuongeza na kumlipa katika kile alichotoa. Maisha ninlaza yaendeleeMsamehe, endelea na maisha. Hamna aijuaye kesho.