Wanawake kuweni na huruma, mchumba hasomeshwi

Nampa pole sana huyo bro lakini kila siku tunaimba hapa JAMANI MCHUMBA ASOMESHWI NA USIDHUBUTU KUMUONEA HURUMA MWANAMKE sema jamaa afanye kama alihonga tu.
 
Hypergamy is baked into the female brain. It works ruthlessly and swiftly. If she sees a better option, she won't hesitate to jump from her current branch to a higher branch, just like she did to you. now ameona opportunity.
 
Amuendee anayetaka kumuoa amwambie gharama zake alizotumia kumsomesha na emotions damage amlipe fidia na riba juu,akikataa ndio afanywe mbwai na iwe mbwai. Yaani pesa mtu anavyoisotea ivyo ipotee burebure
 
mkuu hilo namba mbili usipate tabu nakupa hii

Akitaka kumkomoa mwanamke aliyekukimbia na ukataka awe malaya mbwaaaa

aFanye kila mpango asex nae
then we alimaliza kusex nae asifute dhakari na chochote atafuta kile cha kunolea sokoni lile jiwe lile la kunolea tena ukilipata lie lililobonyea kati ndio safii
futia dhakali yako katika hilo jiwe kisha tia nia yako
basi bwana kazi imeisha
ila HUO uchawi mbaya sana manaa huo umalaya wake utakuwa hatari si mtoto si kijana bodaboda kondokata dereva wabeba taka si mzee ye twende tuu ukisikia kalogezewa anagawa kama pipi ndio
ukitaka kumuagua NJOO PM na laki 5 CASH
 
Familia zngine n hovyo kwann wapokee mahari Mara ya pili akati wanajua fika bint keshachumbiwa?

KiMungu Mungu sio sawa kulipiza kisasi lkn huyo Dada anahitaji funzo , mnaweza mpatia adhabu ya muda tu sio permanent
 
Huyu ndugu yangu ambaye kwangu ni kaka, alikapata kadem kakiwa kidato cha nne kakawa kamefaulu ushindi wa kukapeleka vyuo vya kati.

Jamaa akafanya mpango, akakatafutia shule ya private, kidato cha tano mpaka sita, huku akikalipia ada, na mazaga zaga kama yote kakafaulu nakuingia chuo kikuu.

Jamaa akatambulisha kale kadem kwa akina familia zetu na ukoo kwa ujumla.

Demu akaingia chuo kikuu fulani hapa nchini kwa bahati mbaya hata mkopo akakoswa .

Jamaa akaendelea kulipa ada, na gharama zoteeee kwa huyu mke mtarajiwa

Mwaka jana, mwezi 8 tukaenda kutoa kishika uchumba kwao na mwanamke!

Kumbe demu alivyokua pale chuo, akaanzisha mahusiano mapya na mkufunzi wake

[Emoji117]ndugu zangu, juzi ,juzi juzi hiii ya jumatano, huyu mkufunzi kaenda kutoa mahali kimya kimya kwao na demu na wameipokea milioni 2.

Hata sisi kujua, tumejua kwa bahati bahati tu maana walitaka iwe siri.

Kwa kuzingatia muda na pesa alotumia kama sehemu ya uchumba huyu kaka yetu

Ushauri wenu hapa, utasaidia lkn ushauri wenu uegemee mambo mawili tu

1- Kisheria, unawezaje kupata fidia? Maana miaka mitano sio mchezo

2 - Ni adhabu ya kijadi/kiganga tumpe huyu mbwa? (Binafsi niliwaza tumfanye awe malaya kwelikweli au tumpe mkosi ambao hatokaa kupata mume)

Haiwezekan awafadhaishe sana wazazi wetu, na kutia aibu. Unyama unyama, haki ni mbinguni.

Mrejesho nitawaletea!
Daaah kugharamia mwanamke ambae hujamuoa ni hatari sana,mnaambiwaga kila siku hamsikii

Acheni kujifanya mnajua ku care na kupenda sana

Pole zake sana
 
Kuna sekondari na kuna chuo kikuu[emoji16][emoji16] demu wako kama akifanikiwa kwenda chuo nawew upo mtaani au mpo chuo tofauti basi jua umemkosa, inatokea bahati sana kuendelea na mahusiano.

Watu huwa hawajifunzi, cjui kwann? Inawezekana labda bibie alishawah kuifinyia kwa ndani wakati wa kufika climax[emoji23]

Anyway ushauri wangu hautabase kwenye vipengele ulivyoorodhesha. Braza wako yeye ndo alikosea zaidi.

Maandiko yanatuambia tufanye hekima na maarifa kuwa ndugu yetu. Tayar alichokifanya bro ni makosa na nafikir atakuwa amejifunza kutokana na makosa next time won't happen! So sad[emoji22]

Ushauri wangu ni Amsamehe tu asonge na life. MUNGU ni mwenye haki yeye mwenyewe atahukumu kwa haki[emoji120]
 
Ingekua ni kirahisi rahis Ivo, Wazungu Kwa kutunyonya, kututawala, kututesa, Wangelipwa mapigo sawa na ya misiri.

Ya Duniani, Bora kumalizana hapahapa.
 
Daaah kugharamia mwanamke ambae hujamuoa ni hatari sana,mnaambiwaga kila siku hamsikii

Acheni kujifanya mnajua ku care na kupenda sana

Pole zake sana
Na hizi gharama ndo muhimu

Mfano, angezipeleka kwenye Shughuli fulan, siangekua mbali?
 
Back
Top Bottom