Dah... Asavali, kuna mdau humu nimeshamuoneshea vitendo hata ukopi hamchezi. Shost Evelyn Salt hebu nigee mistari nije nimpe makavu live. Khaaaaa.... Why kuumiza mtima wange????
Kama sio babu mrema sijui tu
Aiseeee ........
Hebu kunywa sumu ili nihakikishe unanipenda!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Nafaa kukutongza eeeee!!!!!!!!
namuogopaa yeuwii
et Eiyer nikutongoze?
Usimuogope rusha tu kete zako, ni muelewa...
Usimuogope rusha tu kete zako, ni muelewa...
nisaidie basi kumsogeza
hapa nshakoroga rat cide ya kutosha!!...
kumbuka baba angu hakimu mama yangu judge...barua nimeweka rum kwao...jf msiponiona alaumiwe Eiyer kaninyima penzi.
Hapana, unafaa kutongozwa...
namuogopaa yeuwii
et Eiyer nikutongoze?
Hebu jaribu nione kama unaliopa!!!!!!!!!
Eiyer....Unaitwa huku!..
haya sasa mke mwenza fanya kweli bhana
Eiyer nakutaka, sasa?
nisaidie basi kumsogeza
Hebu jaribu nikuoneee!!!!!!!!!!
Unanitaka unifanyeje?
Aibu aibu zilimfanya nguruwe akose mkia
we ogopa tu mi nipige round about nijipigie pande....
Eve na Mom fay wamesema nikuambie eti nakunanii...uwe sakafu na chujio la moyo..
Nijifunike na wewe shuka moja