Wanawake kutongoza wanaume kuna ubaya?

Wanawake kutongoza wanaume kuna ubaya?

nimtongoze nan sijui we unaona nan anafaa?

Naona umepata tayari baby ake. Mimi mwenzako sihitaji kutongoza nina waume watatu na wote wananipenda hasa, nami nawapenda sana sana sijaona kama wao.
 
Naona umepata tayari baby ake. Mimi mwenzako sihitaji kutongoza nina waume watatu na wote wananipenda hasa, nami nawapenda sana sana sijaona kama wao.

mi sina my nimejaribu sijui nitakubaliwa? nimevurugwa hahaha
 
Niliwahi kutongozwa na demu flani hivi, nikamuona malaya tuu..kumbe dada wa watu alinipenda kweli...nilijuta na mpaka leo naendelea kujuta..jamani
 
Sio kawaida yetu. Kwetu huku mfumo dume ndio hbr ya mjini
 
leo jumanne, jumamosi lazma nitongoze mtu nahisi nimezama kwenye dimbwi la mahaba
siwezi kufa na hisia zangu

Njia kuu yako ile ambayo ukiiuzi inakuadhibu kwa gegedo ina hii habari kua unataka kuchepuka.
 
Back
Top Bottom