Wanawake kutongoza wanaume kuna ubaya?

Wanawake kutongoza wanaume kuna ubaya?

Bantu lady my dia, twende basi ukanisaidie kutongoZa maana hata sijui wanaanzaga vp

hahaha mke mwenza jamani,hujui kutongoza? wapi Bantu Lady akusaidie...hapa natafuta pozi nampango wa kumfungukia Eiyer...Nimchane kweli,mimi ndo nshafolu ivo,akimind poa tu!
 
hahaha mke mwenza jamani,hujui kutongoza? wapi Bantu Lady akusaidie...hapa natafuta pozi nampango wa kumfungukia Eiyer...Nimchane kweli,mimi ndo nshafolu ivo,akimind poa tu!

eeh hebu niambie wanaanza vip nam nimpige saund mtu
 
Hahahahaa una vituko baby ake, mi ndio najua basi, hamna kitu. Nafikiria labda wanawake wanatongoza kwa aina tofauti na ile ya wanaume.
Ila wataka mtongoza nani tena?
nimtongoze nan sijui we unaona nan anafaa?
 
Back
Top Bottom