Ha ha ha shhhhhh usiongee atasikia....Njia kuu yako ile ambayo ukiiuzi inakuadhibu kwa gegedo ina hii habari kua unataka kuchepuka.
Anza na mimi basi
Mrefu, mwenye mvuto....
Nishajua sifa sifa zako za kifizikia, wewe ni mfupi na mnene kiasi.
Hata wewe upo kwenye target yangu....
Ubaya gani, kwani sie hatuna hisia
Mi nasema tutaendelea kuwatongoza tu....
Mimi ni mnene kama pipa....
Hakunaga mwanaume msumbufu wewe, ukitongoza jibu ni yes tena fasta...na tutawapigisha tarehe kama mnavyotufanyiaga
Basi ngoja ukiitwa BOT ndo nikichukue kabisa...Dah, nasubiri kwa hamu kama nnavyosubiri kuitwa kazini pale BoT
Hakunaga mwanaume msumbufu wewe, ukitongoza jibu ni yes tena fasta...