Wanawake kutongoza wanaume kuna ubaya?

Wanawake kutongoza wanaume kuna ubaya?

Aiseeee ........

Hebu kunywa sumu ili nihakikishe unanipenda!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

hapa nshakoroga rat cide ya kutosha!!...
kumbuka baba angu hakimu mama yangu judge...barua nimeweka rum kwao...jf msiponiona alaumiwe Eiyer kaninyima penzi.
 
hapa nshakoroga rat cide ya kutosha!!...
kumbuka baba angu hakimu mama yangu judge...barua nimeweka rum kwao...jf msiponiona alaumiwe Eiyer kaninyima penzi.

Mi babu yangu Wakili,baba Mwanasheria,mama Ni mkuu wa upelelezi,shangazi waziri wa sheria na mjomba ni jaji mahakama kuu lakini pia mdogo wangu ni Dpp!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom