Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,104
- 165,321
Last edited by a moderator:
Mmmmmm......weka wazi masai dada
eeh hebu niambie wanaanza vip nam nimpige saund mtu
hahahaaha ni kada
loooh umeamua kuja kweli our souls are connected
Ona Sasa!
Eiyer...samahani lakini kama ntakuwa nimekuja kwa pupa ila ni moyo wangu na hisia zangu nashindwa kuzuia..yaani sio siri,tangia nimejiunga jf na kukufahamu,kiukweli napata hisia za ajabu sana juu yako...please nielewe Eiyer,nahitaji uwe laaziz wangu,.sakafu wa moyo wangu walahu ntapata amani ya moyo,comments zako kwenye posts mbalimbali ndo zinanichanganya,kila nikiona najikuta natabasamu mwenyewe,umeniteka kiukweli mwili mpaka roho! nimeamua kufunguka mwenzio,nielewe!!.bila wewe ntapumulia mipira jamani,nikubalie kabla sijanywa sumu na kuacha ujumbe wa kulikosa penzi lako,nakupenda sana mie.
kama hvo mke mwenza,huku unang'atang'ata lips,macho kama umekula kungu na kubana mapaja,ataelewa tu.
Hehehehe umetongoza nnHabari zenu wakuu? naomba kuuliza hivi kwa nini mwanamke akimtongoza mwanaume jamii inayomzunguka humchukulia vibaya?
loooh umeamua kuja kweli our souls are connected
That true nafsi hizi naona kama zina kitu flani tufanye ziada!
naomba unitongoze sahivi w'end ntakuwa busy...
Cc: Eiyer shindwa mwenyewe tuOna Sasa!
Eiyer...samahani lakini kama ntakuwa nimekuja kwa pupa ila ni moyo wangu na hisia zangu nashindwa kuzuia..yaani sio siri,tangia nimejiunga jf na kukufahamu,kiukweli napata hisia za ajabu sana juu yako...please nielewe Eiyer,nahitaji uwe laaziz wangu,.sakafu wa moyo wangu walahu ntapata amani ya moyo,comments zako kwenye posts mbalimbali ndo zinanichanganya,kila nikiona najikuta natabasamu mwenyewe,umeniteka kiukweli mwili mpaka roho! nimeamua kufunguka mwenzio,nielewe!!.bila wewe ntapumulia mipira jamani,nikubalie kabla sijanywa sumu na kuacha ujumbe wa kulikosa penzi lako,nakupenda sana mie.
kama hvo mke mwenza,huku unang'atang'ata lips,macho kama umekula kungu na kubana mapaja,ataelewa tu.
That true nafsi hizi naona kama zina kitu flani tufanye ziada!
Natamani niwafatilie hata mkihamia pm nione mwisho wenu....
Ona Sasa!
Eiyer...samahani lakini kama ntakuwa nimekuja kwa pupa ila ni moyo wangu na hisia zangu nashindwa kuzuia..yaani sio siri,tangia nimejiunga jf na kukufahamu,kiukweli napata hisia za ajabu sana juu yako...please nielewe Eiyer,nahitaji uwe laaziz wangu,.sakafu wa moyo wangu walahu ntapata amani ya moyo,comments zako kwenye posts mbalimbali ndo zinanichanganya,kila nikiona najikuta natabasamu mwenyewe,umeniteka kiukweli mwili mpaka roho! nimeamua kufunguka mwenzio,nielewe!!.bila wewe ntapumulia mipira jamani,nikubalie kabla sijanywa sumu na kuacha ujumbe wa kulikosa penzi lako,nakupenda sana mie.
kama hvo mke mwenza,huku unang'atang'ata lips,macho kama umekula kungu na kubana mapaja,ataelewa tu.
Kama mccm sitaki, kama kamanda sema nimvalie gwanda..
Dah... Asavali, kuna mdau humu nimeshamuoneshea vitendo hata ukopi hamchezi. Shost Evelyn Salt hebu nigee mistari nije nimpe makavu live. Khaaaaa.... Why kuumiza mtima wange????
ni TLP