kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
falcon mombasa kuna ukweli fulani ktk mada.
ktk shughuli zangu za ujasiriamali,wakati flani kampuni yangu iliwahi kupata kazi ya ku-shoot live with tv screen kitchen party ya mtoto wa kigogo mmoja nchini.nilicho kiona kilinipa mshangao mkubwa sana,kitchen party ile ilikuwa na mashoga watatu ambao ilisemekana walikodiwa toka mombasa ili kuja kusherehesha party ile.walionekana kufahamiana sana na yule mdada aliyekuwa anafanyiwa kitchen party.

Last edited by a moderator: