lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 13,201
- 28,087
Kinachoniacha hoi vijana wengi wadogo hadi 14yo wanajihusisha na ushoga. Vijana wengi wanaojihusisha na modeling na fashooooon ni mashoga.
Ushoga unashika kasi kubwa sana hapa Tanzania, miaka michache ijayo tutakua na idadi kubwa sana ya vijana mashoga.
Mbaya zaidi wana websites na blog zao ziko active kabisa kuwasapoti na kuwaunganisha pamoja sijui TCRA wanafanya nini.
Wanaoimba tarabu ndo sijui ni wanaume wa aina gani coz ukiwaangalia wanaliwa pete kabisaa!!