Wanawake kupewa 500,000,kwenye vikundi vya watu 30 kuwawezesha. Je hili ni sahihi tunapoelekea uchaguzi?

goswe

JF-Expert Member
Apr 28, 2018
3,547
2,579
Mimi sio mwanasiasa ila nilikuwa napenda kufaham kuhusu hili suala.
Maana huku mboto,wanawake wanawezeshwa laki 5 kila mmoja ila wakiwa kwenye vikundi vya watu 30.
Na moja wapo ya chama kitachoshiriki uchaguzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha wanaume sio wapiga kura hivyo hawastahili kupewa. Hawa wanawake wangepewa hizo laki 5 kila mtu zake, hayo ya vikundi vya watu 30 zitawasaidia nini laki 5 au kwa sababu ni wanawake haina shida?! Nasikia wao hata wakipewa kanga moja inatosha.
 
Mimi sio mwanasiasa ila nilikuwa napenda kufaham kuhusu hili suala.
Maana huku mboto,wanawake wanawezeshwa laki 5 kila mmoja ila wakiwa kwenye vikundi vya watu 30.
Na moja wapo ya chama kitachoshiriki uchaguzi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu hakikisha unahamasisha mke wako na wanawake uliopiga siku za nyuma na ulio nao sasa wahakikishe wanachukua hiyo hela haraka sana. Maana hata mkiiacha italiwa na kina Makonda na bado mgombea wa ccm atatangazwa kibabe. Na hata ikitokea mkaacha hiyo hela mkamchamgua mgombea wa upinzani, hiyo hela mliyoigomea yeye atachukua na kwenda kuunga juhudi za rais. Hakikisha mpaka dada zako wote wanaingia kwenye hicho kikundi, ww ukifika waambie una mchango kisha waambie hiyo hela sio ya kuacha maana italiwa na wengine. Halafu kila atakayechukua laki 5 akupe 30-50 elfu, mara 30 utakuwa una hela ya kununua mbegu za kilimo.
 
Mkuu nahofia nitakuja kulipa mm izo hela

Ameniambia mke wangu nikwambia fanya fasta chukua mpunga wetu huo ukinipa 50 ya bia sio mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sio mbaya,kwani nani atakua anakusimamia nyuma wakati ukiweka tick kwenye karatasi ya kupigia kura?
 
Back
Top Bottom