Wanawake kukaa uchi chanzo cha ukosefu wa nguvu za kiume. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake kukaa uchi chanzo cha ukosefu wa nguvu za kiume.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mayenga, Apr 20, 2012.

 1. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,753
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  Wadau Salam,


  Kuna msemo wa zamani japo sio wa kistaarabu kidogo(Ashakum si matusi) kwamba zamani ukimtaka mwanamke,ilikuwepo kazi kuitafuta nguo ya ndani(chupi) na ilikuwa vigumu mpaka kuliona ****ko.Msemo huu ulilenga kudhihirisha kuwa wanawake walijua kujistri kwa kiasi kikubwa.Tukubaliane kwa jambo moja kubwa kuwa kwa wale waliosoma biolojia wanajua hisia jinsi zinavyofanya kazi mwilini(Coordination and Response).Ukijiwekea utaratibu wa kula wali kila siku,itafikia hatua wali huo utakuwa si lolote,ukijiwekea utaratibu wa kwamba ifikapo saa fulani ntafanya kitu fulani,yatakuwa ni mazoea na utakuwa ni utaratibu wa kawaida tu.

  Sasa kurudi kwenye mada,tuambiane ukweli ni wanaume wangapi ambao ni wavumilivu wanapowaona wanawake au wasichana wamevaa vichupi?,wengine ushindwa kujizuia na kukuta wanalowa suruali.Mvuto wa hisia kwa mtazamo wangu na ndio ukweli wenyewe hauko kwenye consumation(love making) tu.Ndo maana watu wanavutiwa na ******ko makubwa,maziwa madogo n.k.Vitu hivi ni muhimu katika kuleta mshawasho wa mapenzi,ndio maana linakuja suala la mwanamke kujisetri ili kutoamsha tamaa za ajabu.Umeamka asubuhi umepanda daladala unashuhudia chupi ya mwanamke,umeshikilia bomba na mdada kifua kiko wazi,mdada anashuka suruali limeshuka usawa wa magoti,si kifua,si mgogo,si *****ko,si kiuno na wala si matiti wala tumbo kisichoonekana.Umerudi nyumbani uko na mwanao au dadako kwenye kochi amevaaa siketi fupi kabisa,mkeo pia vilevile.Mazoea haya ya kuona vitu hivi kila siku hayawezi hata kujenga taswira ya muwasho,hamu,mhemko wala hisia kali(deep feeling).

  Kinachotokea ni kwamba,kwa sababu ya kuona vitu hivyo kila wakati na kila saa,wakati mwingine ubongo hujiambia,haya ni mambo ya kawaida,hamna catalyst yenye kukupa msahawasho wa kuona jambo jipya,kila kitu ni kilekile.Kumbuka kama wewe ni mlaji wa ugali kila siku na labda umejipangia kula kilo moja kila siku,haiwezekani ukamantain kiasi kilekile,utakula kilo moja leo,kesho robo tatu,kesho kutwa nusu na mtondogoo utaishia kula robo.Kwa jinsi hata katika mapenzi kujituma hupungua hakuna jipya...........Tafakari!!!!!!!!!
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mh mi thithemi kitu............apita tu:bathbaby:
   
 3. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  huuuuuuuuuuuuuu
   
 4. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nguvu za kiume hazipungui kutokana na kufanya sex kila siku.

  Nguvu za kiume zinatokana na chakula unacho kula.

  Vijana wasiku hizi wanapenda kula chips na kuku wakati havina faida.
   
 5. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Kwa sisi wanaume wa Kitanzania sidhani kama tukionyeshwa kila siku hamu itapungua, mi nahisi ndo itakuwa kama tunakumbushwa vile ....
   
 6. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,222
  Likes Received: 2,086
  Trophy Points: 280
  Kama kuna ukweli fulani vile! Ila napita tu, naelekea jukwaa la siasa
   
 7. s

  sarikoki JF-Expert Member

  #7
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 1,196
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Du.! mkuu umefikiria nini mpaka ukaleta hii mada... simple answer.. kwa tulio oa ,si ungekuta yaani siku nyiingi haisimami maana mi na mke wangu kila siku twaoga pamoja,twavaa pamoja etc.
  Kwa uelewa wangu nadhani kudinda ni involuntary action , ni kama kufunga jicho, kushtuka unapotobolewa na kitu mguuni...etc.
  Na jibu la mwisho, nguo simekuja juzi tuu... zamani walikua hawavai kabisaaaa.. na kuna makabila bado hawavai mpakasasa kama wa Hadzabe, lakini moto ni uleule.
   
 8. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #8
  Apr 20, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Nakubaliana na wewe, Mwanamke au mtoto wa kike yake staha bwana. wengi tunapotoshwa na ya 'uzunguni' but kusema ukweli ukiwa una'hifadhi' binti shurti kitenge/khanga kama si dera kiasi kwamba hata ikitokea kaona kwa bahati mbaya unaona kabisa impact ya matamanio. Lakini kila dakia we duka li wazi hata mteja huchoka ati!

  Mabinti jisitirini kama sie enzi zileeeeeeee.
  Napita
   
 9. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #9
  Apr 20, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Umenikumbusha ule mwimbo duka la mzungu liwaziii, lauza mchele na nazii .....tehteeth teh
   
 10. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #10
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Naomba kudiffer; hapo kwenye uzungu!
  Asili yetu, ni kuvaa nguo chache sana; huo uzungu ndio ulioleta hayo manguo mengi mengi. Hata bila kwenda Bostwana, angalia ngoma zetu karibia zote za asili; mavazi yanayotumika ambayo ni ya kitamaduni; ni yanayoachia sehemu kubwa ya mwili wetu.

  Ninapokubaliana na wewe ni kuhimiza watu kujisitiri lakini si kwamba kutojisitiri ni asili ya wazungu na si yetu. Hiyo mikhanga na midela ni asili ya waarabu.
   
 11. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #11
  Apr 20, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Ndiyo maana inatakiwa wakati wa kuoa umekishua unaoa mtu umpendaye, maana kitendo cha kumuona kila siku viungo vyake akiwa uchi unalala naye kitanda kimoja. kina kufanya asikusisimue tena, ila kwasababu naturally unampenda inajengeka akilini kwamba usimtende kitu kibaya. Vinginevyo waweza kujikuta humuheshimu na kufanya mambo ya ajabu mbele yake
   
 12. Bwa'Nchuchu

  Bwa'Nchuchu JF-Expert Member

  #12
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,178
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Touche.
   
 13. MduduWashawasha

  MduduWashawasha JF-Expert Member

  #13
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 1,568
  Likes Received: 407
  Trophy Points: 180
  Nakubaliana na mtoa mada na wengi ya wachangiaji.Kuna factors nyingi zinachangia kupungua nguvu ikiwamo kula ma junk food , uonajihuo wa mapaja / matiti , n.k lakini nadhani kama mtu yuko fiti kimwili kuona tu ni balaa.Lazima "Kalulushi Instrument" iamke na kuanza kuleta shida.Siamini kabisa kama Dam inflow vzr katika mwili wa mtu mpaka kwenye instrument halafu eti ukiweka mambo hadharani instrument igome.NGUMU SANA.Ukosefu wa kiume unaongelewa sana ni ule ambao jamaa anagoma miezi miaka unawekewa kitu balaa wala instrument haiamki.Sababu kubwa ni flow mbovu ya blood mwili na kwenye kichwa.vyakula vibovu , mafuta mengi mwilini--majunk food na machipsi manyama , kutopumzika vizuri,ukandamizaji wa biere daily...ndo sababu kuu.TUJENGE UTAMADUNI WA KUFANYA MAZOEZI NA KULA BALANCED DIET.TUKIFANYA HIVYO BUKAN&* ITAPIGWA FRESH TU NA INSRUMENT ITAMSIMAMIA HATA DADAKO
   
 14. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #14
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  mnh kwa hio unasuggest kwa wazungu hili tatizo liko common,sababu wao ni vimini kwa kwenda mbele especially wakati huu wa summer......mnh i doubt your theory....
   
 15. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #15
  Apr 20, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Uko sawa kabisa Da Mkubwa Kaunga katu sibishi ila kinachonishinda ni tofauti kati ya hii asili yetu na makuzi yetu. Nakubali ni asili yetu kuwa na nguo chache kwani hata tamaduni zetu za kale zinaonyesha jinsi ngoma zetu zinavyochezwa kwa uwazi lakini je katika malezi yetu tunakuzwa katika kuuenzi utamaduni huu? au kuna conflicting issues kwa sababu kama mtoto wa kike analelewa kwa minajili ya usitiri, vaa khanga akiwa na miaka kumi, jisetiri kwa kutokukaa kifua wazi no matter joto la aina gani bado tutasema tunauenzi utamaduni wetu?

  Nadhani tungeruhusiwa mabinti kulelewa kuwa ni sawa paja likiwa nje, ni sawa kukaa na kuchanua miguu pasipo bibi wala nyanya kukufinya mapaja tungeweza kuwa kama Wa Botswana but wengi wetu tunabanwa.

  Hahaha Kaunga Khanga nadhani ni new version ya Kaniki, no? It is what I think!
   
 16. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #16
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,753
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  Lakini Mkuu kumbuka mkeo anjisetri na hakai uchi muda wote.
   
 17. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #17
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  mada bila picha za mfano huwa hainogi
   
 18. kirumonjeta

  kirumonjeta JF-Expert Member

  #18
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 3,090
  Likes Received: 498
  Trophy Points: 180
  100% true!!!!!!!!
   
 19. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #19
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kasema kweli enheeee hadi umeguna duuuu kazi ipo sijui yule jirani ndio kapost hii kitu...
   
 20. rom

  rom Senior Member

  #20
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  teh teh teh nguvu azipungui bana...... inakuwa ni mazoea tu ya kuona kila siku na kupuuzia tu. vinginevyo ukitaka ngoma ipo palepale.
   
Loading...