Wanawake kukaa uchi chanzo cha ukosefu wa nguvu za kiume.

Sasa kwa nchi za magharibi inakuaje?maana wazungu wao ni vimini,vihotpant,wakienda beach vibikini so wanaume wa kizungu wao ndo hawawezi shughuli kabisa au?.
#napata tabu kukuelewa for sure#
 
Du.! mkuu umefikiria nini mpaka ukaleta hii mada... simple answer.. kwa tulio oa ,si ungekuta yaani siku nyiingi haisimami maana mi na mke wangu kila siku twaoga pamoja,twavaa pamoja etc. Kwa uelewa wangu nadhani kudinda ni involuntary action , ni kama kufunga jicho, kushtuka unapotobolewa na kitu mguuni...etc. Na jibu la mwisho, nguo simekuja juzi tuu... zamani walikua hawavai kabisaaaa.. na kuna makabila bado hawavai mpakasasa kama wa Hadzabe, lakini moto ni uleule.
Ni kweli kamanda, huko kwa Mswati mbona wanawake wako Uchi wa Mnyama,tena mabinti zake wako uchi pia na wala hawako na tatizo lolote. Naambiwa hata Mfalme mwenyewe anaoa wake wengi. Pengine wana jf tusiruhusu mawazo mepesi kutawala na kuhitimisha hivyo. Hebu turuhusu akili yetu kufanya kazi ya ziada. Nguvu za kiume hazipungui kwa kuona maungo yakiwa Wazi. Kama ndivyo hivyo basi watu tulio kwenye ndoa tusingekuwa tunafanya mapenzi.
 
ukweli dada zetu msiinge uvaaji wa wazungu maana maumbile yao yako tofauti na sisi kwa hiyo mzungu hata ukimuonA amevaa nguo fupi hamasa ya kumtamani ni ndogo kwa kuwa yuko kama mwanaume lakini nyie mnavutia sana kweye.......ko matiti, etc
 
Sasa kwa nchi za magharibi inakuaje?maana wazungu wao ni vimini,vihotpant,wakienda beach vibikini so wanaume wa kizungu wao ndo hawawezi shughuli kabisa au?.
#napata tabu kukuelewa for sure#

Nadhani mtoa mada anazungumzia contexts tofauti.....kama mkaka amelelewa Botswana ambako kuona manyonyo ya binti, mapaja na nyonga ni kitu cha kawaida tangu akiwa mtoto, hiyo akili yake itakinai nini?

We Mayenga hebu ukuje ufafanue jambo hapa!
 
Sidhani kama muhemko unasababishwa na kuona tu! Kunafactor nyingi zinasababisha.
1. It's natural kama uko kamili
2. Kugusa
3. Msuguano
4. Hisia
etc.
 
Nadhani mtoa mada anazungumzia contexts tofauti.....kama mkaka amelelewa Botswana ambako kuona manyonyo ya binti, mapaja na nyonga ni kitu cha kawaida tangu akiwa mtoto, hiyo akili yake itakinai nini?

We Mayenga hebu ukuje ufafanue jambo hapa!

angesema tu simple kua sio maadili mema kuvaa vijinguo hivyo lakini kulihusisha na upungufu wa nguvu za kiume nehiii
 
Inawezekana nikawa bias as I prefer usiri, yaani hata ule muda wenyewe doing some teasing games, ile staki nataka inachangia katika kukindle/ fire up the deed so I might be biased katika hili loh.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
angesema tu simple kua sio maadili mema kuvaa vijinguo hivyo lakini kulihusisha na upungufu wa nguvu za kiume nehiii

Oh ok .........but how comes mnapokuwa kwenye mwanzo wa mahusiano mpenzio akiona japo chuchu imechomoza kidogo anadata lakini mkisha kaa pamoja kwa muda hali huwa tofauti? Of coz uko sahihi haimaanishi kuwa urijali wake umepungua may be anazoea, au kama ni binti ambaye si mbunifu, anajua kuwa even if he chases her hatopata chochote kipya.
 
Mdau kaongea mambo muhimu sana,kwa mfano mimi nipo hapa korea kusini...baba,mama,binti na kijana wanogelea pamoja,wote wamevaa vichupi kabisaa,hlf kwao ni poa tu,tena kawaida sana....nilijaribu kuimagine na hapo nyumbani...mmh sipati picha.
..kwao kukaa nusu uchi ni poa tu...labda wamevizoea sana hadi ile ashiki ilishapotea.
 
Umeongea point, hawa wanatutega sana bana.

Hahahah Tume ya Katiba mnategwa na rangi za madukani?? maana kuweni machi ziku hizi hakuna tofauti ya rangi kati ya paja la mdada na goti au mguu! karolaiti zimesawazisha mambo sasa if that is the case mwataka tuvae mabaibui, suruali lakini zisitubane! hahah
 
............................................................................
 
but nadhani wnaume mmecangia kwa asilimia kibao hao wanawake kukaa uchi cuz mngekuwaga mnawapotezea, mnahangaika na wale waliojisitiri dhaimahilo msingeliface. by the way hata izo nguvu mkiwa nazo sioni faida yake,
 
Nakubaliana na wewe, Mwanamke au mtoto wa kike yake staha bwana. wengi tunapotoshwa na ya 'uzunguni' but kusema ukweli ukiwa una'hifadhi' binti shurti kitenge/khanga kama si dera kiasi kwamba hata ikitokea kaona kwa bahati mbaya unaona kabisa impact ya matamanio. Lakini kila dakia we duka li wazi hata mteja huchoka ati!

Mabinti jisitirini kama sie enzi zileeeeeeee.
Napita

nguo zenyewe sisi waafrika tumeletewa na wazungu soma historia vizuri waafrika walikuwa wanavaa nini kabla ya ujio wa wazungu hamna nguvu kwa kunywa mipombe na chips kuku mnatafuta visababu visivyokuwa na kichwa wala miguu
 
Nadhani mtoa mada anazungumzia contexts tofauti.....kama mkaka amelelewa Botswana ambako kuona manyonyo ya binti, mapaja na nyonga ni kitu cha kawaida tangu akiwa mtoto, hiyo akili yake itakinai nini?

We Mayenga hebu ukuje ufafanue jambo hapa!

nadhani umejibu vema mkuu
 
Mimi nakubaliana na ndugu mayenga kwa asilimia mia moja!

Naona jamaa zangu hamjamuelewa sawasawa....Alipotoa mfano wa mtu mwenye kula ugali kila siku,hakusema ipo siku mdomo utakataa kufunguka kugoma kula ugali...bali hamu ya kula ugali hupungua kiasi mpaka kiwango cha kula ugali hushuka,kama alikuwa anakula kilo moja huenda mpaka kuwa anakula robo.

Na hivyo hivyo ndivyo inavyokuwa katika suala la kujamiiana.mtu anapozoea kuona maeneo nyeti ambayo huamsha hisia za kimapenzi,hamu yake ya kujamiiana mtu huyo hupungua kwa kiasi kikubwa!
Vitu kama wanawake kutembea nusu uchi,filamu za ngono na upigaji punyeto,vina athari kubwa kwa wanaume ambapo hupelekea kupunguza hamu wakati wa kufanya mapenzi kwa sababu akili inakuwa imeathirika na vitu hivyo na mwisho tunasema upungufu wa nguvu za kiume!
Kwa wale ambao wako kwnye ndoa,kuna mambo mengi yanayopaswa kufanywa..(somo refu)!
Wengi hujamiiana kama utaratibu tu!...mke yuko pale au mume yuko...!lakini ukweli hamu ya kufanya na kitendo na kwa hamu, mahaba na mapenzi ni wachache mno!
 
Inawezekana nikawa bias as I prefer usiri, yaani hata ule muda wenyewe doing some teasing games, ile staki nataka inachangia katika kukindle/ fire up the deed so I might be biased katika hili loh.

Mhhhhh! Neno hilo MJ1

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom