Wanawake kuendesha gari peke yao...

Ampakie nani labda.??? Ukute mashost zake wa kazini wote wanamagari...au unataka ile ya posta 1000...kwa mwanamke kupakia abiria kituoni not safe..na pia mwanaume anaconfidence ht akisimamishwa na mtu asiyemjua anaomba lift ana mpakia..tofauti na mwanamke...uoga mwingi na pia si salama....na ht hao wanaume si wote wanaopakiza watu..halafu compare mgari unaopakiza watu kila siku unachakaa...gari nimenunua mwenyewe so I do wat I want.....
 
He he he he he he da watu mnafanya maresechi jamani
 
Namna wanawake wawazavyo aisee ni ngumu kwetu wanaume kujua...ngoja tuwapishe wenyewe waje watueleze!!
 
Unaweza kumpa lift mwanamke mwenzio, hiyo afadhali lakini wanamme kuwapa lift ni usumbufu.

Kwanza mwekezaji anamind kukuta kidume kimetuna mbele afu mko wawiliu tu.

Wengine unawapa lift wanaanza kukutongoza bure.

Ukute umekula umin wako hatari ukikaa kinapanda hadi God knows whhere.

Mood swings za kike, sometimes unahitaji space kuwa peke yako na kutafakari tu.
 
Ni suala la kujisikia na kuwa na roho ya kwanini! Mbona wachache wao huwa wanatoa lifti bila matatizo?
 

Na zombie ana kazi!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…