Mbona unajihami...
mwambie Hugo mama yako aache kumtesa Mtoto wa watu...
Daaah pole!!! Afu ungekuwa Mimi siku hiyo ningenunua chipsi na kuku mzima Nile nilale nisipike ndo ajue kuwa mie nae ni moto! Yaani angeisomaa namba.
Pole..mi wangu haridhiki hata nifanye nini..
Teh mvumilivu haswa, na November ndoa inafungwaHongera zake, ana uvumilivu sana
umeongea ukwli kbisa. kuna wa mama mkwe mahasidi sna kugmbanisha ndoa za watt zao kw chuki zisizo na sababu ksa tu mwanae anampnda sna mkewe na kumtimizia kla ktu.. ispokua yule mke mwnye kuzuia mumewe asplke matibabu kwao huyo sio mzuri na htakama mamamkwe ni mmbaya ikitokea anaumwa au anashia ajue kwmba mumewe ana haki ya kumsaidia mama yke kwa kiasi chochote cha fedha.Si kila wakati mke ni kulaumiwa kuhusu uhusiano na mama mkwe wake. Naona raha sana kama mke akipatana na mama yangu. Lakini lazima tukubali kuwa kuna akina mama mkwe ambao ni very intrusive kwenye ndoa za watoto wao. Wanamwona mke wa mtoto wao kama mfanyakazi, kidampa fulani wa kuamrishwa tu. That is unfair.
Mwenye uwezo wa kuweka mambo sawa ni mwanaume. Lazima awe na uwezo wa kupima kwamba mama yake kavuka mpaka na kumweka sawa.
Mara nyingi mama akimheshimu mkwe wake mambo huenda sawa japo wapo wanawake hata mama mkwe afanye nini yeye ni uadui tu. Kila ndoa na mambo yake. Kila ndoa ina DNA yake!
kabisaa. mwanamke yyte akishaitwa mkwe tu ujue hpo ni design nyngine kbisa ya mwnmke. [emoji38][emoji38][emoji38] kwli mngu aliumba dunia na miujiza yke. wa mama mkwe asilimia kbwa kbisa huwa na vtuko vya ajabu dhidi ya wake za wtoto zao.Kuna dada aliwahi kusema "wakwe wengine roho zao zimening'inia kama kamasi hata uwatendee nini hawabebeki" uhusiano wa mtu na mkwe wake sio swala la kuangalia upande mmoja
true fact... ukweli usiopngika. na mama mkwe wmgi huwa na vtuko eti anatka umpkie chkula ww htaki cha mfnykzi. kmbe hli jmbo liko kla sehemu nlidhan kwtu tu. [emoji28][emoji28][emoji28]Nakubaliana na mtoa mada kuhusu umuhimu wa kumheshimu mama mkwe. Lakini kumpenda sio lazima kama nilivyosema hapo juu. Jamani kuna mama wakwe wabaya. Naweza kutoa mfano, utakuta umejifungua ma mkwe anakuja kukuhudumia kama mzazi. Mama mkwe hafanyi chochoteeeeee hata ile kumwambia mfanyakazi akusaidie kitu, yeye kazi kukaa kuangalia tv na kukutuma wewe mzazi wa siku 5 ukampikie chapati za kusukuma anajisikia kula leo, na hataki msichana wa kazi azipike. Mama mkwe anakataza usipikiwe supu, eti mzazi hapaswi kula nyama! utakuta unapikiwa ugali na nyanya chungu. Mama mkwe anapita chumbani kwako kisha anakuelekeza pale kabati lilipokaa halipendezi utoe upeleke wapi sijui... seriously? Mama mkwe anakuingilia cha kupika, anafukuza wafanyakazi basi ili mradi! Ukimkuta mkwe mswahili utajuta, hana mipaka na wewe ni mtumishi wao! Yataka moyo hawa watu, labda hujakutana nao ndo maana unasema hivyo! Unaweza ukaichukia ndoa usipoweza kupambanua kuwa huyo ni mkwe tu, hajakuoa!
umeongea nlchotaka kuongea. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji23]Nyie reaction zenu ni kimya kimya, ma mkwe akiumwa unapiga kimya, akipata shida unapiga kimya..... Teh ndo tofauti yetu hiyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Daaah pole!!! Afu ungekuwa Mimi siku hiyo ningenunua chipsi na kuku mzima Nile nilale nisipike ndo ajue kuwa mie nae ni moto! Yaani angeisomaa namba.
yni hyo mmbo yanafanana fanana jmani kla ndoa mama wakwe huwa hivihivi tna usiombe uolewe na mtoto wa kiume pekee kwao. lol ni shidaKuna wakwe wengine usiombe ukutane nae..
Mi wangu jamani karibia anitoe roho..
Tena usiombe ukute mumeo ndo mtoto wake wa pekee wa kiume alafu ni single mother..
Wangu vituko kama mke mwenza..
Ila pamoja na yote nimejifunza ku mantain distance,kumheshimu na kumuelewa kwamba ni mzazi anaempenda mwanae na kumshahuri huby ampende na kumsikiliza ingawa sis hatuna mahusiano mazuri
Kuna jirani yangu hapaNinakubaliana na wewe wapo wamama wakwe kama hao. Lakini mimi naona mume ndiye mwenye jukumu la kuweka sawa mahusiano ya mama yake na mkewe. Ukiona mama ma mka mwama hawana mahusiano mazuri (ile live kabisa) ujue huyo MUME NI DHAIFU!
Ni kukaa nao mbali, ukiwa nae karibu unakuwa lofa tu afanye vituko hadi achoke we unakua mtizamajikabisaa. mwanamke yyte akishaitwa mkwe tu ujue hpo ni design nyngine kbisa ya mwnmke. [emoji38][emoji38][emoji38] kwli mngu aliumba dunia na miujiza yke. wa mama mkwe asilimia kbwa kbisa huwa na vtuko vya ajabu dhidi ya wake za wtoto zao.
kabisaa.Ni kukaa nao mbali, ukiwa nae karibu unakuwa lofa tu afanye vituko hadi achoke we unakua mtizamaji
Hahaha nimecheka kama mazuri. Hiyo hela ya maandazi si wangempaga ya wiki tu, ingawa najua pia hasidi hana sababu. Yani huyo mwanaume hana option zaidi ya kuhama huo mtaa kama anapenda kuishi kwa amani lakini. Aende tu mbali hata mtaa wa 2 ila a-make sure ni kaumbali ambako mama hawezi kufika kwa urahisi kila siku (pakiwa karibu ataenda tu kufuata hela ya maandazi daily).Kuna jirani yangu hapa
Mke na mama mkwe wanazichapa live,tunaamlia tukimpigia simu mwanaume anasema msiwaamlie,atakaye umizwa hospital zipo!
Bint wa watu (mke) kavumilia to the maximum siku hizi naye anajibu mashambulizi
Worth enough wanaishi jirani na mama mkwe,
Tumemshaur sana mwanaume wakapange mbali kidogo hata anasema mamake atapata shida (kijana ndo wa kwanza na wa mwisho)
Imagine mama anaishi peke yake bila hata mjukuu (mke amekatalia watoto wake) lakn bado anaamka saa kumi na mbili asubuh kugonga kwa mtoto wake anataka hela ya maandazi!
Haya mambo tuyaache tu,
Kama mtu umekutana na familia waelewa,mshukuru Mungu
Hatukatai lakn huyu mama ni mtata balaa!Hahaha nimecheka kama mazuri. Hiyo hela ya maandazi si wangempaga ya wiki tu, ingawa najua pia hasidi hana sababu. Yani huyo mwanaume hana option zaidi ya kuhama huo mtaa kama anapenda kuishi kwa amani lakini. Aende tu mbali hata mtaa wa 2 ila a-make sure ni kaumbali ambako mama hawezi kufika kwa urahisi kila siku (pakiwa karibu ataenda tu kufuata hela ya maandazi daily).
Ingawa akihama pia ni kama katangaza vita Kwa mama coz atasema tu mke ndo kamtenganisha na mwanae. Wamama wengi hata kama ana watoto wengi still atahisi kama anafight na wakamwana wake for his son's attention and affection. Sasa imagine mama ambaye ndo ana mtoto huyohuyo mmoja, maisha yake yote ni yeye na mwanae, kuja kumuaccept mtu mwingine kwenye maisha ya mwanae eeeeeh ni Neema tu aisee. Hata huyo mkaka naelewa ugumu anaopitia ila no way inabidi tu ahame, kama anaweza amtafutie mama msichana wa kazi wa kumpa kampani, na ahakikishe anamtembelea kila baada ya siku 2 hata. Ndo hapa tunapoelewa Kuwa huolewi na mume Peke yake.
mshukuru mungu Sana kwa Hilo.mie mama mkwe Yuko bize kutafta attention ya mtoto wake.anamtreat mwanae as if hajaoa wala hanionKwa kweli katika kitu nasikia raha kwenye ndoa yangu ni mama mkwe wangu,ananipenda mpaka mume wangu anaona wivu hasa na kunawakati nikitaka kumdispline kitu mume wangu napitia kwa mama mkwe na anakipresent in such a way anahakikisha ananilinda na kunitetea ile mbaya.Kwa hiyo nafurahia sana kuwa na mama mkwe niliyenaye Mungu ampe maisha marefu mama mzaa chema
Ndo maana nikasema wahame tu hapo, akishindwa kukaa na msichana basi atakaa alone, si anaweza kujihudumia mwenyewe I mean si hana maradhi au disability ya kumfanya ashindwe kujihudumia? ?? Kwa hilo gubu watamfanyaje sasa? Yes ni mama lakini hiyo speed yake si nzuri kwa ndoa ya mwanaeHatukatai lakn huyu mama ni mtata balaa!
Mwanzoni na sisi tulijua haudumiwi lakn si kweli, tena binti wa watu anafanya vibiashara vyake na mitaji yetu ya st. Kayumba, ananunua anachokiweza anawatuma watoto pelekeni kwa bibi!
Bibi akipokea anakuja kuprove kama vilivyoko huku (kwa mkamwana) nisawa na vilivyoenda kwake (elewa mwanaume hajatoa hela hapo, bint wa watu anafanya jamii isimuelewe vibaya)
Wafanyakazi anatafutiwa na hawalipi yeye mshahara lakn hawajawahi kukaa, wanaondoka kila Leo.
Kijana asubuh anapotoka anapitia kumsalimia, jion anavorudi anapitia, lakn kutwa kucha mama mashtaka,
Tulivojenga hapa akatuzoea haraka,
Anatushtakia (eti mwanaye karogwa hamsikilizi) Mwanzoni Mr alikuwa anabidii huyo kuamua kesi siku kachoka.
Mama wa aina hii unatakiwa uwe na neema ya ziada
Tuendelee kuwaombea ndo lililobakiNdo maana nikasema wahame tu hapo, akishindwa kukaa na msichana basi atakaa alone, si anaweza kujihudumia mwenyewe I mean si hana maradhi au disability ya kumfanya ashindwe kujihudumia? ?? Kwa hilo gubu watamfanyaje sasa? Yes ni mama lakini hiyo speed yake si nzuri kwa ndoa ya mwanae
Coz ikiendelea hivi, hiyo ndoa inaweza isiwepo kabisa. Kila binadamu ana kiwango chake cha uvumilivu, huyo binti ameshachoka hadi sasa hivi, sijui huko mbeleni itakavyokuwa. Na huyo mume atachoka tu, maana amani haipo, ukienda kwa mama malalamiko ukirudi Kwa mke malalamiko pia, hatojua ashike lipi. Wakae naye mbali tu, angalau ka-amani kawepo. Mweee Mungu unapowabariki wenzangu Na wakwe wema Na mimi usinisahau pleaseee