Wanawake jitokezeni muwasifie wanaume zenu

Allah amenitunuku Alhadi wangu MashaAllah ana mapungufu mengi kama binaadamu wengine (nikiwemo na mie) ila makamilifu yake ndio yananiondoa kinyongo cha maudhi yote,Allah amjaalie Miaka Mingi aje anizike mie
 
Wanawake mwanamke mwenzenu katoka kuniacha wiki imepita.

Nawaomba msisifie mtu yeyote humu

Mimi roho itaniuma
 
Abarikiwe mume wangu kwa bidii ninayoiona ya kujitahidi kuwa bora kwangu na kwa familia.
Sijawahi juta kumkubali.

Siwezi sema mengi
maana wengi hudhani najisemesha tu kujipa moyo, ila niliokota almasi mchangani. Kifupi huyu binadamu asiye kamilika ana sehemu kubwa katika furaha yangu na mafanikio yangu.
 
Allah amenitunuku Alhadi wangu MashaAllah ana mapungufu mengi kama binaadamu wengine (nikiwemo na mie) ila makamilifu yake ndio yananiondoa kinyongo cha maudhi yote,Allah amjaalie Miaka Mingi aje anizike mie
Waoooh, hongera
 
Back
Top Bottom