Wanawake jitokezeni muwasifie wanaume zenu

aaaah mwanaume huyu hakiyalahi anajua kujali sijapata kuona,mfanowe hakuna.heshima sasa mpaka naona hakuna kama mimi.anajua kunisamehe mpaka kuna saa naona haya mwenyewe natamani niombe adhabu nipate kupata amani
mahaba yake si ya sayari hii yakhee,mpaka natamani kumshare wajue utam wake na ninavyofaidi mie.

nimenogewa mie natamani nimalizie na mapungufu yake



hahahhahah nimejikuta nacheka mwenyewe kweli wanake mmepinda yaan kwa kusoma tu hv mhhhhh,hahahahah
 
Back
Top Bottom