Wanawake jitahidini kuwa na sauti nyororo

Wanawake jitahidini kuwa na sauti nyororo

Hata kama natia papuchi ila mfano unatia papuchi huku mwenyewe anaongea kwa lugha ya mahaba nyororo ooooo baby stop there uwiiii go west yerewiiii na mwingine anaongea maneno hayohayo huku sauti inakwaruza wewe unafikiri utachagua yupi?

Baby stop wapi??mnapata wapi muda wa kuongea ongea mkitiana??game ikiwa hot hayo mambo yenu yakuongeaongea hakuna kabisaaaa
 
unataka sauti ya sh. ngapi nkuwekee oda? halafu ntakutumia kwa wosapu

Ya wema sepetu ndio ya shing ngapi? Au tufanye ya Kongosho si ndio ya bei juu eeh.
 
Last edited by a moderator:
huhuhuuu asa kwa mfano mtu anajiita jike la simba unataka sauti iweje
 
Mipombe na midawa ya kujikoroga ndiyo inawaharibu wanawake sauti zao. Misauti inakuwa ya kiume, nyuso zinaota ndevu.
 
snowhite nafanyaje huu mbesi uishe niwe na kasauti katamu kama ka gfsonwin.

Duh kwa mara ya kwanza nanangwa kuhusu mbesi wangu.

hhahahhahahahahahahahahhahahah utanilipa mbafu sangu!
ila mi hiii sauti yangu ya kwanza inanilipaaaaa!mwaya kula mayai shosti!
 
Last edited by a moderator:
King'astiiiiiiii guanzhou hakuna kadude kakuweka shingoni niongee kama masista wa konvetini?
 
Last edited by a moderator:
wengine ni za kuzaliwa nazo na kuna wengine wanapiga sana vyombo hasa vikali hadi sauti zinaharibika
NB: KUNA WAKAKA PIA WANA SAUTI NYORORO UTASEMA NI KE
 
Waacheni wadada wenye sauti nzito wooote waje kwangu
 
Umenena! Kama mademu wengi wa kongo na Nigeria. Mibezi kwenda mbele! Yaani it's a total turn off.
 
dah, umekuja kunianika huku? Je, wanamme wenye sauti nyororo?
 
kuongea kama Wema unatakiwa uwe huna mshipa wa aibu kabisa.

Utadhani hajazaliwa bado.

Ya wema sepetu ndio ya shing ngapi? Au tufanye ya Kongosho si ndio ya bei juu eeh.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom