kajunjumele
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 2,490
- 1,363
nipate mtu wa kufupisha tafadhali....
...fupi tamu,ndefu kela....
nipate mtu wa kufupisha tafadhali....
...fupi tamu,ndefu kela....
...jitahidi usome hadi mwisho stori ni nzuri sana,pia inamafundisho...Aliesoma hadi mwisho anihadithie tafadhali.
Ama kweli wanawake hawana shukrani!
Wanaume wanayo? Japo sijasoma mpaka mwisho wanawake wa namna hii huwa siwalaumu siku izi.
Ama kweli majuto ni mjukuuDah....its sad...kuna watu wana bahati wanazichezea...I wish....