Wanawake jinsi wasivyokuwa waaminifu...

Wanawake jinsi wasivyokuwa waaminifu...

Stori ndefu ila ni ya uongo japo inafunzo kwa wanawake kutokana na mwanaume aliyeoa haachwi
 
Mh japokua hii story ni ndefu lakini ina mafindisho haswa kwa wanawake
 
hii story nimeisoma yote, inasikitisha kwa chanzo cha kujitakia, na hapo hta shetani haingii ni moyo wako ndio tatizo. pole sana wanawake wengi wanakoseaga hapo tu. ila upendo wa dhati huonekana kwenye matendo na lazima ujitoe kwa dhati. pole sana anza upya maisha yako, kama mumeo alishakupeleka na kanisani kukukataa basi usitegemee huyo francoo arudi. ila funzo kwa wengine maana umekosa yote.
 
mi nina aleji na madesa, ..........

Grand PA
 
Gwa Nkaja Franco Ntojofu. Mwanamke ni kama mtoto. Anatakiwa kuambiwa kwa hiari kwa nguvu kuwa jambo hili halitakiwi kufanywa. Franco amekuwa akimpa kila kitu ukiwemo uhuru wa kwenda popote tena anampeleka mwenyewe kwa gari lake na kuahidi kumrudia baadaye. Kama umesoma vizuri Lily ametumia umzopa wa Franco kupanga kwenda Bagamoyo tu kwa sababu alijua mumewe asingefuatilia chochote. Majaribu ni kitu cha kawaida katika ndoa lakini kuachia majaribu bila kuchukua hatua kama mwanaume ni uzembe. Chagua moja kama mwanamke unampenda lazima umkinge na kumlinda dhidi ya majaribu na kama humpendi mwache mara moja sio kulialia halafu unajitia mwanasaikolojia. Franco alikuwa na nafasi ya kuokoa ndoa yake kama angesimama kama mwaume. Mwanamke ni zaidi ya kumpa nyumba mavazi na mambo mengine kama hayo, ameumbwa kuhitajika iwe kwa kumbembeleza au kwa lazima lakini lazima uonyeshe kumhitaji she feels she is important to you. Struggle for intimacy
....FRANCO siyo soft gwa nkaja,jamaa ni mtaalamu wa saikolojia.Hakuna adhabu mbaya kama ya Kisaikolojia.Hauoni demu amekuja kuweweseka mwenyewe huku.Hapo ana release pain.....
 
[@bantulile

Hata umbane vipi mwanamke akiamua ameamua tu,..nimesha wahi kushuhudia mme na mke wanafanya kazi jengo moja japo ofisi tofauti na walikuwa very close.Lakini mwanamke alikuwa anatumia mda wa Lanch kuchepuka bila mmewe kugundua.So huwezi mchunga binadamu hata siku moja,..utaishia kumbonda tu.
 
Hapa wanawake watasoma tu na kupita bila comment

kwa nn tusi comment??? nauliza swali tz hii bado kuna wanaume kama wa
mleta uzi??? basi kama yupo naomba an pm.

mleta uzi ntafanya dhambi nikikupa pole ila natanani tu nipate mme kama
wako kama si kumpata huyooo mmeo kamwe hatokukumbuka. naomba no yake!
 
Ipo tofauti kubwa kati ya mwanamke mwenye tabia mbaya kwa asili na mwanamke anayevutwa na mazingira kufanya mabaya. Kwa kusoma hadithi hii inaonesha kuwa mwanamke hakuwa mbaya kivile isipokuwa alishawishiwa na mashost baada ya kuona Franco yuko Loose kupita kiasi. Hata baada ya kujua kuwa huenda mkewe anarubuniwa hakuchukua hatua stahiki. Angaliweza kumuonya, kumwadhibu au kumwacha mapema akatafuta wife material siyo huyu manung'ayembe, angalionekana ni mwanaume sio huyu wa kulialia bila kuchukua hatua. Ubowa wa adhabu ya kisaikolojia ni kwamba inakuumiza pia wewe mwenyewe. Angalia Franco alianza kukosa usingizi na kuwa mlevi wa wine, wakati awali ilikuwa siyo hivyo. Hii ni matokeo ya ugonjwa wa msongo wa mawazo (stress). Halii isipotibiwa unakuwa kichaa kabisa na inawezekana usitibike. Kjunju, kwa nini utoe adhabu ambayo inakuumiza zaidi wewe kuliko unayemwadhibu?
[@bantulile

Hata umbane vipi mwanamke akiamua ameamua tu,..nimesha wahi kushuhudia mme na mke wanafanya kazi jengo moja japo ofisi tofauti na walikuwa very close.Lakini mwanamke alikuwa anatumia mda wa Lanch kuchepuka bila mmewe kugundua.So huwezi mchunga binadamu hata siku moja,..utaishia kumbonda tu.
 
Mambo ya ndoa na mapenzi ni magumu kuuacha moyo ujiamulie, husisha kichwa.

Marriage (including its affiliates and subsequent life) is better nourished by logical choices, sometimes influenced by feelings and emotion. Otherwise, it never works out.

Girl, you deserve no empathy as you got none yourself. Neither do you deserve another chance as he gave you so many, you were too fuc*king blinded to notice.

He isnt coming back to you. No man in his right senses would anyway.

Afu asante kwa kuandika. Passtime kama hizi safi sana, though unasoma unamporomoshea tu matusi kimoyomoyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom