Wanawake jijini Dsm acheni kuvaa nguo fupi, nyepesi na zinazonata mwili

Mdakuzi mkuu

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
212
719
Habari!

Nimekuwa nikijiuliza sana niwapo jijini Dsm hasa kwenye usafiri wetu wa kujumuika wa 'daladala'. Wanawake, si wakubwa, si mabinti,si walioolewa wanapenda sana kuvaa vinguo vifupiiii, vyepesii na vinavyonatana na mwili hasa jasho likishajaa mwilini. Kuna wakati unaona mpaka ramani ya nguo yake ya ndani au kifua kuwa wazi kabisa!

Ni ili upepo upite kwa ajili ya ventilation au ni fashion tu jamani? Huwa nikisimama katika daladala, mwili husisimuka sana hasa tunapogusana (direct contact).

Wanaume na wenye wachumba/wapenzi, ni kwanini mnawaruhusu wenzenu wanatoka mjn wakiwa tepetepe? Ni majigambo au ndo life style?

Naombeni wanawake wenye tabia hizi murekebike.

Msipende kuamsha vilivyolala, vikiamka mtalala nyie.
 
Umeyaona hayo kwasababu ulikuwa umeshiba nanhudaiwi pango( bila shaka umefikia kwa shemeji)
Subiri ukiwa na njaa na mfukoni nauli huna , tuone kama macho yako yataangalia had I nguo za ndani na kuamsha MTU wako aliyelala!
 
Dar joto kali, halafu pia biashara matangazo, effect uliyoipata ndivyo ilivyolengwa so next time chukua hatua we walaze tu..
 
Habari!

Nimekuwa nikijiuliza sana niwapo jijini Dsm hasa kwenye usafiri wetu wa kujumuika wa 'daladala'. Wanawake, si wakubwa, si mabinti,si walioolewa wanapenda sana kuvaa vinguo vifupiiii, vyepesii na vinavyonatana na mwili hasa jasho likishajaa mwilini. Kuna wakati unaona mpaka ramani ya nguo yake ya ndani au kifua kuwa wazi kabisa!

Ni ili upepo upite kwa ajili ya ventilation au ni fashion tu jamani? Huwa nikisimama katika daladala, mwili husisimuka sana hasa tunapogusana (direct contact).

Wanaume na wenye wachumba/wapenzi, ni kwanini mnawaruhusu wenzenu wanatoka mjn wakiwa tepetepe? Ni majigambo au ndo life style?

Naombeni wanawake wenye tabia hizi murekebike.

Msipende kuamsha vilivyolala, vikiamka mtalala nyie.

Possibly wanatokana na ile sababu aliyotoa member mmoja humu si muda mrefu kuwa baadhi ya waliopo kwenye mahusiano hawawajibiki ipasavyo
 
Back
Top Bottom