Wanawake jiheshimuni basi

Wanawake jiheshimuni basi

Mhh kweli tembea uone, huyo demu alijuaje kama una mtoko na mpenzi wako km hukuwa na mazoea naye?

Afuu kama kweli uko decent na innocent sana mbona hata hukumtonya huyo mpenzi wako kuwa kuna demu king'ang'anizi akawa na prio taarifa, naamini angejitaidi asikutie aibu kwa at least kuto reply back ugomvi.

Kuwa mwaminifu, tulia na wako, acha kulalamika na kusingizia wanawake

Ukitaka mwanamke asikusumbue mwambie jogoo lako halipandi mtungi...

Hahahahahaha wanawake wa siku hizi hata hashuhuliki kama amekupendea hela zako akuchune..huyo kuku wako sijui jogoo ana muhusu nini?....utaambiwa tu baby mie mie nakupenda vyovyote ulivo lol...WIZI MTUPU..
 
kosa afanye mmoja uje utujumuishe wote inahuuuu..........kwanza mwanaume mzima utashindwaje kuamua ugomvi wa wadada mpaka mlinzi akusaidie??
Nashangaa af anadai anampenda mpenzi wake...alishndwaje kumvuta na kumtupa mbali huyo mdada mwngne?ikiwezekana kumnasa vibao kabsa??kwahyo huyo dada anatoa maneno yote hayo nawew umekaa tu unasikiliza au??
 
wanawake wengi ndo zao hizo, wagumu sana kuelewa,..

Mbona midume ipo kibao tu tena inanua kabisa hiyo papuchi kwa bei nzuri!!!
 
Kwani wanaume huwa hawasumbui wanawake hata kama wanajua wana wapenzi? mwisho wa siku ni we mwenyewe kujua jinsi ya kutoa nje na kudeal na hiyo ishu kistaarabu
 
Nashangaa af anadai anampenda mpenzi wake...alishndwaje kumvuta na kumtupa mbali huyo mdada mwngne?ikiwezekana kumnasa vibao kabsa??kwahyo huyo dada anatoa maneno yote hayo nawew umekaa tu unasikiliza au??
tatizo hajielewi na hana msimamo....afu anakuja kupost huku anadhani sifa.
 
Siku zote nafahamu wanawake ni viumbe vyenye akili mbili tatu.Xo dnt take it into advantage kwamba jinsi mlivyowadhaifu ndo mkose hata akili ya kujielewa na kujitambua.Siku zote msitake kuforce mapenzi,mwanaume akikwambia ana mpenzi tayari,jaribu kuelewa,usiforce akupende although najua inauma,pale unapojibiwa negatively na matarajio yako.sasa ona huu mkasa umenitokea jana majira ya jioni,nilikuwa na demu wangu tumeamua kula dinner nje coz,si kila siku tunapika.Well,kunademu alitokea kunipenda kipindi cha kama wiki 3 zilizopita,alinitafuta kwa namna anayojua mwenyewe na sijui ni nani aliyempatia namba yangu ya simu.Xaxa tangu aipate hii namba kwangu imekuwa kero coz anasumbua kunipigia simu hovynhovyo,huku anajua fika mimi ninamwanamke ambaye tunapendana tayari,sasa chakushangaza jana kavamia convoy yangu na my lover,akaanza kumrushia maneno manzi wangu,eti"Aaaargh,mwanamke mwenyewe kimbaumbau,hakina hata shepu,sijui na huyu mwanamume kakupendea nini,kaone kalivyokabaya kuanzia sura mpaka tabia,kazi kudandiadandia ngoma usizo na hadhi nazo".Kweli yule mwanamke alinikera kweli coz alisababisha ugomvi mkubwa,walipigana kweli nikashindwa hata kuamlia mpaka nilipopata msaada wa mlinzi shirikishi mmoja wa kike nakumdirect yule mdada ki2o cha polisi,hivi xaxa yupo nje kwa dhamana na anakesi ya LUGHA YA MATUSI.sasa naona alichokipanda keshavuna.Nani alaumiwe jamani,coz nisha ku alert mapema mm ninampenzi,kwann usiwemuelewa basi.KWELI WANAWAKE mnaboa kama ndo mmefikia stage hii yakuforce mapenzi.

Mulugo and Prof Mchome generation utaijua tu. Kasome wewe division zero imerudishwa.
 
Mshamba we na vijike vyako vya uswazi!!! Vinuka mkojo usitulinganishe navyo mxuuuuuuuuuu!!!

Kwenye huu uzi ndio nawajua jinsia ya K, wengine nilikuwa najua ni madume
 
kosa afanye mmoja uje utujumuishe wote inahuuuu..........kwanza mwanaume mzima utashindwaje kuamua ugomvi wa wadada mpaka mlinzi akusaidie??

umeona eeh...eti ugomvi ulikuwa mkubwa na walipigana kweli kweli akashindwa kuamulia akaishia kusaidiwa na dada mlinzi shirikishi.....
 
Siku zote nafahamu wanawake ni viumbe vyenye akili mbili tatu.Xo dnt take it into advantage kwamba jinsi mlivyowadhaifu ndo mkose hata akili ya kujielewa na kujitambua.Siku zote msitake kuforce mapenzi,mwanaume akikwambia ana mpenzi tayari,jaribu kuelewa,usiforce akupende although najua inauma,pale unapojibiwa negatively na matarajio yako.sasa ona huu mkasa umenitokea jana majira ya jioni,nilikuwa na demu wangu tumeamua kula dinner nje coz,si kila siku tunapika.Well,kunademu alitokea kunipenda kipindi cha kama wiki 3 zilizopita,alinitafuta kwa namna anayojua mwenyewe na sijui ni nani aliyempatia namba yangu ya simu.Xaxa tangu aipate hii namba kwangu imekuwa kero coz anasumbua kunipigia simu hovynhovyo,huku anajua fika mimi ninamwanamke ambaye tunapendana tayari,sasa chakushangaza jana kavamia convoy yangu na my lover,akaanza kumrushia maneno manzi wangu,eti"Aaaargh,mwanamke mwenyewe kimbaumbau,hakina hata shepu,sijui na huyu mwanamume kakupendea nini,kaone kalivyokabaya kuanzia sura mpaka tabia,kazi kudandiadandia ngoma usizo na hadhi nazo".Kweli yule mwanamke alinikera kweli coz alisababisha ugomvi mkubwa,walipigana kweli nikashindwa hata kuamlia mpaka nilipopata msaada wa mlinzi shirikishi mmoja wa kike nakumdirect yule mdada ki2o cha polisi,hivi xaxa yupo nje kwa dhamana na anakesi ya LUGHA YA MATUSI.sasa naona alichokipanda keshavuna.Nani alaumiwe jamani,coz nisha ku alert mapema mm ninampenzi,kwann usiwemuelewa basi.KWELI WANAWAKE mnaboa kama ndo mmefikia stage hii yakuforce mapenzi.
den.jpg
​
 
naomba kujua umri wako tafadhali.

Yani it shows how immature you are

hili suala ungekuwa na akiri ya kiutu uzima ungeweza kulihandle, mpaka imefikia wanawake wanapigana kisa wewe, inaonyesha huwezi Uongozi. PERIOD
 
We division V ututake radhi!
Mbona una generalize matatizo? Wemen trafficking imekushinda umegonganisha madem zako wa tandale sijui kiburugwe halafu ulivyo ----- hata kuamulia umeshindwa unakimbilia JF kusema tujiheshimu! Wewe ungejiheshim wangegombana? Nijavyo mimi mwanamke hawezi kukuganda kama hakijawahi tokea chochote kati yenu kabla! Huenda ulimmega halafu ukajijengea defensive mechanism eti nina mchumba wangu!
Tena kakosea ningekuwa mimi ningekupiga wewe na hivi hata kuamlia ugomvi huwezi walinzi wangekusaidia kufuata Pf3
 
Excellent indeed
 
Back
Top Bottom