Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Mhh kweli tembea uone, huyo demu alijuaje kama una mtoko na mpenzi wako km hukuwa na mazoea naye?
Afuu kama kweli uko decent na innocent sana mbona hata hukumtonya huyo mpenzi wako kuwa kuna demu king'ang'anizi akawa na prio taarifa, naamini angejitaidi asikutie aibu kwa at least kuto reply back ugomvi.
Kuwa mwaminifu, tulia na wako, acha kulalamika na kusingizia wanawake
koku wanaume wengine wakiona wanawake wanapigana kwa ajili yake basi wanaona ni siiifaa,
sa yeye mijike yake imegombana huko anakuja kutujumuisha wote huku, hajui wengine hata mzuka wa kumng'ang'ania mwanaume hatuna..!