Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,850
huyu sio romantic kama mimi.
Nalog off
Umeona eeeh
huyu sio romantic kama mimi.
Nalog off
Siku zote nafahamu wanawake ni viumbe vyenye akili mbili tatu.So dnt take it into advantage kwamba jinsi mlivyo wadhaifu ndo mkose hata akili ya kujielewa na kujitambua.
Siku zote msitake kuforce mapenzi,mwanaume akikwambia ana mpenzi tayari,jaribu kuelewa,usiforce akupende although najua inauma,pale unapojibiwa negatively na matarajio yako.
Sasa ona huu mkasa umenitokea jana majira ya jioni,nilikuwa na demu wangu tumeamua kula dinner nje coz,si kila siku tunapika.
Well,kuna demu alitokea kunipenda kipindi cha kama wiki 3 zilizopita,alinitafuta kwa namna anayojua mwenyewe na sijui ni nani aliyempatia namba yangu ya simu.
Sasa tangu aipate hii namba kwangu imekuwa kero coz anasumbua kunipigia simu hovyo hovyo,huku anajua fika mimi nina mwanamke ambaye tunapendana tayari.
Sasa cha kushangaza jana kavamia convoy yangu na my lover,akaanza kumrushia maneno manzi wangu,eti"Aaaargh,mwanamke mwenyewe kimbaumbau,hakina hata shepu,sijui na huyu mwanamume kakupendea nini,kaone kalivyo kabaya kuanzia sura mpaka tabia,kazi kudandiadandia ngoma usizo na hadhi nazo".
Kweli yule mwanamke alinikera kweli coz alisababisha ugomvi mkubwa,walipigana kweli nikashindwa hata kuamlia mpaka nilipopata msaada wa mlinzi shirikishi mmoja wa kike nakumdirect yule mdada kituo cha polisi,hivi xaxa yupo nje kwa dhamana na anakesi ya LUGHA YA MATUSI.
Sasa naona alichokipanda keshavuna.Nani alaumiwe jamani,coz nisha ku alert mapema mm ninampenzi,kwann usiwemuelewa basi.
KWELI WANAWAKE mnaboa kama ndo mmefikia stage hii yakuforce mapenzi.
inavyoonyesha hata akioa atashindwa kumdefend mkewe.nafikir huyu jamaa atakuwa kilaza
tena anasema bila aibu.umeona eeh...eti ugomvi ulikuwa mkubwa na walipigana kweli kweli akashindwa kuamulia akaishia kusaidiwa na dada mlinzi shirikishi.....
wewe mwenyewe ujielewi kabisa!!!
Siku zote nafahamu wanawake ni viumbe vyenye akili mbili tatu.So dnt take it into advantage kwamba jinsi mlivyo wadhaifu ndo mkose hata akili ya kujielewa na kujitambua.
Siku zote msitake kuforce mapenzi,mwanaume akikwambia ana mpenzi tayari,jaribu kuelewa,usiforce akupende although najua inauma,pale unapojibiwa negatively na matarajio yako.
Sasa ona huu mkasa umenitokea jana majira ya jioni,nilikuwa na demu wangu tumeamua kula dinner nje coz,si kila siku tunapika.
Well,kuna demu alitokea kunipenda kipindi cha kama wiki 3 zilizopita,alinitafuta kwa namna anayojua mwenyewe na sijui ni nani aliyempatia namba yangu ya simu.
Sasa tangu aipate hii namba kwangu imekuwa kero coz anasumbua kunipigia simu hovyo hovyo,huku anajua fika mimi nina mwanamke ambaye tunapendana tayari.
Sasa cha kushangaza jana kavamia convoy yangu na my lover,akaanza kumrushia maneno manzi wangu,eti"Aaaargh,mwanamke mwenyewe kimbaumbau,hakina hata shepu,sijui na huyu mwanamume kakupendea nini,kaone kalivyo kabaya kuanzia sura mpaka tabia,kazi kudandiadandia ngoma usizo na hadhi nazo".
Kweli yule mwanamke alinikera kweli coz alisababisha ugomvi mkubwa,walipigana kweli nikashindwa hata kuamlia mpaka nilipopata msaada wa mlinzi shirikishi mmoja wa kike nakumdirect yule mdada kituo cha polisi,hivi xaxa yupo nje kwa dhamana na anakesi ya LUGHA YA MATUSI.
Sasa naona alichokipanda keshavuna.Nani alaumiwe jamani,coz nisha ku alert mapema mm ninampenzi,kwann usiwemuelewa basi.
KWELI WANAWAKE mnaboa kama ndo mmefikia stage hii yakuforce mapenzi.
Ukitaka mwanamke asikusumbue mwambie jogoo lako halipandi mtungi...
Maelezo mengi kumbe mjinga ni wewe uliyegonganisha magari.
Maelezo mengi kumbe mjinga ni wewe uliyegonganisha magari.
nimeshaona teyari.Umeona eeeh
umeona eeeeeeeeeeeeeeeeeee mwanaume suruali huyo ishu kama hiyo kashindwa kuisolve mpaka asaidiwe na mlinzi udhaifu wa kijinga huo mfano akitokea mwiz nyumbani kwake sindio atazama chini ya uvungu wa kitanda teh teh teh nomainavyoonyesha hata akioa atashindwa kumdefend mkewe.
[FONT=times new
roman]Siku zote nafahamu wanawake ni viumbe vyenye akili mbili
tatu.So dnt take it into advantage kwamba jinsi mlivyo wadhaifu ndo
mkose hata akili ya kujielewa na kujitambua.
Siku zote msitake kuforce mapenzi,mwanaume akikwambia ana mpenzi
tayari,jaribu kuelewa,usiforce akupende although najua inauma,pale
unapojibiwa negatively na matarajio yako.
Sasa ona huu mkasa umenitokea jana majira ya jioni,nilikuwa na demu
wangu tumeamua kula dinner nje coz,si kila siku tunapika.
Well,kuna demu alitokea kunipenda kipindi cha kama wiki 3
zilizopita,alinitafuta kwa namna anayojua mwenyewe na sijui ni nani
aliyempatia namba yangu ya simu.
Sasa tangu aipate hii namba kwangu imekuwa kero coz anasumbua kunipigia
simu hovyo hovyo,huku anajua fika mimi nina mwanamke ambaye tunapendana
tayari.
Sasa cha kushangaza jana kavamia convoy yangu na my lover,akaanza
kumrushia maneno manzi wangu,eti"Aaaargh,mwanamke mwenyewe
kimbaumbau,hakina hata shepu,sijui na huyu mwanamume kakupendea
nini,kaone kalivyo kabaya kuanzia sura mpaka tabia,kazi kudandiadandia
ngoma usizo na hadhi nazo".
Kweli yule mwanamke alinikera kweli coz alisababisha ugomvi
mkubwa,walipigana kweli nikashindwa hata kuamlia mpaka nilipopata msaada
wa mlinzi shirikishi mmoja wa kike nakumdirect yule mdada kituo cha
polisi,hivi xaxa yupo nje kwa dhamana na anakesi ya LUGHA YA MATUSI.
Sasa naona alichokipanda keshavuna.Nani alaumiwe jamani,coz nisha ku
alert mapema mm ninampenzi,kwann usiwemuelewa basi.
KWELI WANAWAKE mnaboa kama ndo mmefikia stage hii yakuforce mapenzi.
[/FONT]