Wanawake jifunzeni kuvutia waume zenu hata baada ya miaka 10 kwenye ndoa

Hata na kwa wanaume ni hvyo hvyo tu..

Wakifkisha 40 yrs wanaanza kuchoka, mvi zinaota, vitambi, anaanza kuvaa ki dingi , K- vant zinammaliza nguvu , yaani hapo stimu zinakata. unaishi nae tu ili mlee watoto

Ndo mana wanawake wanaenda kujitaftia vi benten vya kujipooza navyo, kwa mume tena mvuto hamnaa..
Wajisahau sana hawa viumbe. Bora hata sisi watoto wanatuvurugia mwili, wao excuse yao ni gani?
 
Wanaume wa siku hizi nao hawajambo kwa kushuka manyonyo na vitambi uzembe na kukosa nguvu Za kiume.
Na sie pia twatamani six pack zinatuvutia lkn mbona mwashuka manyonyo na vitambi wakati hamjazaa hata wtt wawili!!!?

Ukiona mke havutii mlipie gym afanye mazoezi, mpe mahela anunue viwalo na perfumes za maana. Aende salon kila wiki bila kusahau kumsaidia na ulezi maana watt nao wa nahitaji sana attention ya wazazi wote wawili.
 
Chagamoto kubwa siku hizi ambayo inasababisha ndoa ziingie kwenye migogoro isio isha ni uzembe wa wanawake kwenye ndoa, unaoa mke ukiwa 30yrs yeye akiwa 23yrs, kwa umri huo anakua na sura nzuri na makeups chura sauti nzuri umbo safi, kwa kweli anakua na mvuto kila siku, unatamani kukutana nae kila siku mara mbili.
Wanaume wanaoongea maneno kama haya wengi wao huwa hawana jipya kimuonekano, kifedha, sura, na mengineyo..
Ni mtazamo tu..
 
Chagamoto kubwa siku hizi ambayo inasababisha ndoa ziingie kwenye migogoro isio isha ni uzembe wa wanawake kwenye ndoa, unaoa mke ukiwa 30yrs yeye akiwa 23yrs, kwa umri huo anakua na sura nzuri na makeups chura sauti nzuri umbo safi, kwa kweli anakua na mvuto kila siku, unatamani kukutana nae kila siku mara mbili.
Nlikuwa napanga kuleta thread km hii kwa mwaka mzima nasita. Pia mwanaume wako akichepuka jua anatumia so chini ya elf 50 kwa kujibana sana. Hebu kwa wiki mara 2 kwa mwezi mara8ukipiga hapo ni laki3 hivi inakuwaje ukucover nafasi yako vizuri hii hela ikarudi ndani mwako
 
Waambie bhana labda watakuelewa...
 
Hatuongelee nguvu za kiume, tunaingelea uzembe wa wanawake baada ya kuka kwenye ndoa mda mrefu wana jisahau kabisa mwana mke wamiaka 35 huonekana kama bibi na kitambi juu.
Kujisahau hata wanaume mnajisahau vile vile na kujisahau nyie na wanawake Wana lose touch
 
Endelea kutafuta " aromatic" na "acute"girl..mkeo majukumu yanamuandama..ila kabla hujalalama je unamtunza?.Je mahitaji yake anapata vzr?.mimi nina wtt 3 but still na look good kwa sbb natunzwaaa.
 
Hongera kwa kua na mke mzuri mnae tunzana vizri endelea hivo
 
Back
Top Bottom