Wanawake jifunzeni kuvutia waume zenu hata baada ya miaka 10 kwenye ndoa

Hata na kwa wanaume ni hvyo hvyo tu..

Wakifkisha 40 yrs wanaanza kuchoka, mvi zinaota, vitambi, anaanza kuvaa ki dingi , K- vant zinammaliza nguvu , yaani hapo stimu zinakata. unaishi nae tu ili mlee watoto

Ndo mana wanawake wanaenda kujitaftia vi benten vya kujipooza navyo, kwa mume tena mvuto hamnaa..
 
Acha sio kweli mwanaumme wa 40 nimoto kama kijana wa 25, hapo naona unatafuta defensive mechanism sionu uhusiano wa mvi na mahabah mwanaumme anapungua makali akifikisha 60+ ila sio 40.
Siku hizi wanaume wadogo nguvu za kiume hamna na wazee hukimbilia watoto vile hukojoa sekunde na hawajui mda. In short mkizeeka tunzianeni siri
 
Siku hizi wanaume wadogo nguvu za kiume hamna na wazee hukimbilia watoto vile hukojoa sekunde na hawajui mda. In short mkizeeka tunzianeni siri
Hatuongelee nguvu za kiume, tunaingelea uzembe wa wanawake baada ya kuka kwenye ndoa mda mrefu wana jisahau kabisa mwana mke wamiaka 35 huonekana kama bibi na kitambi juu.
 
Inategemea tu ulimpendea kipi mkeo,kama physical appearance yake pekee ndio imekuinfluence kuwa naye inaweza kweli ikawa tatizo.
Mie mama watoto kibonge way back kabla hata hajazaa,ukinambia kitambi tu ni tatizo siwezi kuelewa!
Play part yako,mfanye awe fuckable.
 
Hahaha ndg yangu wanawake tunawapendea kwa vitu vingi usafi maendeleo utunzaji wa mali kupata watoto, ila licha ya hivo vyote bila kukutana nae kimwili, manaamke hata ridhika nawewe utajiona una kasoro, kumbuka kama we ni mwana ume kufanya tendo kwetu lazima uvutiwe na mwenza wako, bila hivo machine inawezi kugoma ukilazomisha utafanya kitu prejuculation.........huwanze kuwaza eti umeishia nguvu za kiume kumbe mwenzio ha kuvutie
 
mtoa mada kakurupuka, ingekua hivo wanawake wenye muonekano wa kiume/mbaya wasingeolewa maana hawavutii.
Kasome mada vizuri hatuongelee ubaya wa sura za wana wake hapana naongelea jambo, la kivutiwa baada ya kuka kwenye ndoa mda mrefu.
 
Hata na kwa wanaume ni hvyo hvyo tu..

Wakifkisha 40 yrs wanaanza kuchoka, mvi zinaota, vitambi, anaanza kuvaa ki dingi , K- vant zinammaliza nguvu , yaani hapo stimu zinakata. unaishi nae tu ili mlee watoto

Ndo mana wanawake wanaenda kujitaftia vi benten vya kujipooza navyo, kwa mume tena mvuto hamnaa..
Wao wenyewe wanavumiliwa tu ila hawajitambui!!!!
 
Chagamoto kubwa siku hizi ambayo inasababisha ndoa ziingie kwenye migogoro isio isha ni uzembe wa wanawake kwenye ndoa, unaoa mke ukiwa 30yrs yeye akiwa 23yrs, kwa umri huo anakua na sura nzuri na makeups chura sauti nzuri umbo safi, kwa kweli anakua na mvuto kila siku, unatamani kukutana nae kila siku mara mbili.
Ukimla kifo cha mende mbona kitambi hakionekani? Au kinakera kukiangalai?
 
Hata na kwa wanaume ni hvyo hvyo tu..

Wakifkisha 40 yrs wanaanza kuchoka, mvi zinaota, vitambi, anaanza kuvaa ki dingi , K- vant zinammaliza nguvu , yaani hapo stimu zinakata. unaishi nae tu ili mlee watoto

Ndo mana wanawake wanaenda kujitaftia vi benten vya kujipooza navyo, kwa mume tena mvuto hamnaa..
Wao wanavumiliwa lakini wakiwa humu wanajichetua balaa wakati wanalala kama ndama waliokosa malisho
 
Wake zetu wa kituzoea wanakua wa bishi na wajuaji, hata ushauri kmahaba ata kukatisha tamaa, kwa mfano unamwambia kwa mahaba mke wangu leo va ile jeans ina kupendezesha sana, ata kujibu hovyo. Wale wanao va jeans uaoni? kawa fuate uko uko toa hapa umalaya wako, yeye anaendelea kuva mavitegi vyake malefu kama mama mchungaji.......hapo utavutiwa mda gani, tafadhali wake zetu badilikeni ndoa sio jela.
Haa haa kwani vitenge si ndiyo nguo za heshima Baba ?
 
Hatuongelee nguvu za kiume, tunaingelea uzembe wa wanawake baada ya kuka kwenye ndoa mda mrefu wana jisahau kabisa mwana mke wamiaka 35 huonekana kama bibi na kitambi juu.
Ndiyo hayo yakuvumiliana, hakuna uvumilivu mgumu kama wa mwanamke kuishi na mwanaume asiye na nguvu za hisia hapo hata shetani hutoa pongezi kimoyo moyo.
 
Back
Top Bottom