Wanawake jifunzeni kuvutia waume zenu hata baada ya miaka 10 kwenye ndoa

Baby fancy jirekebishe kama nawewe uko hivo, jitahidi kujitunza mwanaumme kazima huvutiwi ndo mzuka wa kufanya mapezi kupanda.......
MWANAMKE kazaa unategemia ziwa liwe saa 6umesikia wapi? Kuna baadhi ya vitu vinabadilika automatically tu huna jinsi inabidi ukubaliane na ukweli tu
 
Issue mkuu sio ndoa, tatizo ni mvuto wanawake hujisahu wanakua hovyo sana na kumuacha huwezi, kinacho fatia ni kuchochora nje ya ndoa kutafuta anae kuvutia
Sawa, ndio nimekuuliza ndoa yako ina umri gani au umepata shuhuda kwa washkaji?
 
MWANAMKE kazaa unategemia ziwa liwe saa 6umesikia wapi? Kuna baadhi ya vitu vinabadilika automatically tu huna jinsi inabidi ukubaliane na ukweli tu
Sawa kila mtu analijua kujitunza na kujijali ni muhimu ili uendelee kumvutia mmeo,....kwasabb umejifungua maziwa ya na chezea kwenye vyomba vya chakula yana vuja hovyo, kwanini usifunge hicho kitambi, unakatazwa kujilemba ili uonekane vizri, unashinda simu nzima na kanga eti kisa unanyonyesha ziwa liko nje mda wote kisa umeza hapana usafi na kujitunza ni muhimu kwa wanawake
 
Hivi mkuu mbona kitambi umekiita "kitabi" kwenye lines zote? Ni errors ama una kithembe?.

Sasa ushasema things will never be the same, kwa upande wa maumbile nna watoto wanne unategemea niwe na chuchu saa 6 kweli hao watoto walinyonya nini? Kitambi sawa ila pia kutakua na mabadiliko kumbuka hao watoto walikaa kwenye hilo tumbo lililokua flat before. Sawa ntapambana litapungua ila halitakua na flat as nilivokua kabinti.

Mengine kama sauti ya kufoka hapo nakubaliana na wewe na inabidi tu tu wadada tujitahidi, ila pia inategemea sidhani kama mtu anaweza kufoka bila sababu and why?lazima tu utakua umemkosea na sababu yeye pia ni binadamu ndiyo maaana anafoka.

Ndoa ni kuvumiliana kwenye shida na raha na kama unaona kuna kitu amekosea na kinarekebishika mwambie vile unataka afanye au awe mbona itawasaidia wote kuwa na furaha daily.
 
Hata na kwa wanaume ni hvyo hvyo tu..

Wakifkisha 40 yrs wanaanza kuchoka, mvi zinaota, vitambi, anaanza kuvaa ki dingi , K- vant zinammaliza nguvu , yaani hapo stimu zinakata. unaishi nae tu ili mlee watoto

Ndo mana wanawake wanaenda kujitaftia vi benten vya kujipooza navyo, kwa mume tena mvuto hamnaa..
 
Wake zetu wa kituzoea wanakua wa bishi na wajuaji, hata ushauri kmahaba ata kukatisha tamaa, kwa mfano unamwambia kwa mahaba mke wangu leo va ile jeans ina kupendezesha sana, ata kujibu hovyo. Wale wanao va jeans uaoni? kawa fuate uko uko toa hapa umalaya wako, yeye anaendelea kuva mavitegi vyake malefu kama mama mchungaji.......hapo utavutiwa mda gani, tafadhali wake zetu badilikeni ndoa sio jela.
Hahahaaaaa huyo amezidi au anakaa karibu na wakwe zake na wakwe walokole.
 
Hahahaaaaa huyo amezidi au anakaa karibu na wakwe zake na wakwe walokole.
Ni kuridhika tu, malengo yake yalisha timia yote kasha jisahau, anajua awezi kuachwa kwasabb kama hizo, ndowake wengi walivyo.
 
Nashukuru MUNGU kwa kunipa mke wangu mwembamba,tuna miaka tisa Sasa na watoto watatu,bado ninamuelewa.
 
Hivi mkuu mbona kitambi umekiita "kitabi" kwenye lines zote? Ni errors ama una kithembe?.

Sasa ushasema things will never be the same, kwa upande wa maumbile nna watoto wanne unategemea niwe na chuchu saa 6 kweli hao watoto walinyonya nini? Kitambi sawa ila pia kutakua na mabadiliko kumbuka hao watoto walikaa kwenye hilo tumbo lililokua flat before. Sawa ntapambana
Husi misguide watu ndoa ni kuvumiliana tabia sio mabadiliko ya mwili tena ukizingatia inatokana na kula ovyo na uchafu wakizembe tu.
 
Mkeo kapata mume hasara ukizaa tu mwili unabadilika, huna adabu aisee
 
Back
Top Bottom