Wanawake jifunzeni kutoka kwa kajala

CTU Soma hizo post za EMT... Hajafungwa bana.... bado. Anything can happen....
Ashadii nimesoma kwenye blog zetu kuwa kafungwa miaka 7
Moja ya blog ni udaku spercial
Ngoja ni google na zingine ila hizi media zetu ndio zimeanza kusema haya
 
hahaha.... Meritta na wewe unataka kujifunza soccer uwe mpenzi? lol

Kwanza kabisa sio "soccer". Ni "football". Achana na Kiingereza cha Kimarekani, who learned to play football few years ago.
 
Ashadii nimesoma kwenye blog zetu kuwa kafungwa miaka 7
Moja ya blog ni udaku spercial
Ngoja ni google na zingine ila hizi media zetu ndio zimeanza kusema haya

Wenye mablog rafiki wamehakikisha? Hata hivo ngoja niifuatilie hii habari kwa ukaribu nijue mwenyewe....
 
Kwanza kabisa sio "soccer". Ni "football". Achana na Kiingereza cha Kimarekani, who learned to play football few years ago.

Geez!!! I didn't even know kua Soccer ni Uingereza na sio universal had US.... lol... Have a lot of learning to do aisee... hahaha
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Sasa jamani kwenye pesa safi au halali Yuko wapi au utamjuje? Ilobaki tumuombe mungu atupe mwenye kheir na sie...
 
EMT... In blue is where the answer lies.... For I was like well kama goals ziko tatu kwanini zisiitwe tatu tu? So it has to be on player scoring all the three goals in the same game. Nimeipenda hio coinage ya hat trick. Na nimeelewa kuna hat trick ambayo ni sifa sana... ila pia kuna a perfect hat trick ambayo ni sifa zaidi. Huo mchezo wa juzi ni nani aliscore hio?
Alafu nani anashika record ya kufunga hat tricks nyingi kuliko wote?

Ndio maana unasikia mwanaume anatamba baada ya kujahimiana na mwanamke kuwa alipiga bao tatu aka hat trick. Mchezo upi wa juzi unaousema? No body scored a hat trick.

Kuhusu ni mchezaji yupi anaongoza kwa hat trick ni ngumu kujua. Football inachezwa kote duniani. Kwa Ligi ya Uingereza ambayo ni maarufu duniani na ninayoifuatilia, zaidi ya wachezaji 100 wameshafunga hat-trick tokea mwaka 1992. Eric Cantona (alikuwa anachezea Manchester United) alishafunga hat trick mara tatu. Wachezaji zaidi ya 20 wameshafunga hat trick. Andrew Cole, Alan Shearer, Jermain Defoe and Dimitar Berbatov have scored five hat tricks in each.

Anayeshikilia rekodi ya quickest UK Premier League hat-trick ni Robbie Fowler. Alifunga mara mabao matatu dhidi ya Arsenal just in 4 minutes 23 seconds. That was very quck. Shabiki wa Arsenal ulijue hili.

Lakini kulikuwa na mchezaji wa Manchester United, kwa jina Ole Gunnar Solskjær alifunga magoli manne ndani ya dakika 12 as a substitute mwaka 1999. A substitute is a player who is brought on to the pitch during a match in exchange for an existing player. That was the fastest scorer of a four-goal haul on record in England

Only four players, Les Ferdinand, Ian Wright, Didier Drogba and Wayne Rooney, have scored "back-to-back" hat-tricks in two consecutive league games. "Back-to-back" is another term used in football and will need another class for it. lol

So, in England Robbie Fowler has scored nine hat-tricks; Thierry Henry and Michael Owen have scored eight hat-tricks each. But in Spanish league, there is this Barcelona forward Messi has scored eight hat-trick just in this season. That means 18 hat tricks in total for Messi and he is only 24.
 
Kweli sasa am serious... Naongea na Mod... Naweka thread ya kujifunzia... hizi post inabidi niwe napitia mara kwa mara... Hivo nitamwambia ahamishie huko. Hapa nimepata terms mpya... "back to back"

Nime observe hili... Messi is a Great and an Excellent player kuweza achieve hayo in a season.
Ole Gunnar yawezekana ni mchezaji wa kawaida tu ila a Lucky one.
Robbie Fowler and Michael Owen ni Great Players...
 
Back
Top Bottom