Wanawake: Je, mlikuwa mnayajua haya?

Wanawake: Je, mlikuwa mnayajua haya?

Nakubaliana nawe Na.1, ndio maana wanabaka hata watoto na hata kujamiiana na wanaume wenzao.

Nami nilikuwa nashangaa inakuwaje sijui wale wakulipiza kisasi, mana how comes mtu hata humjui unaitwa n a kupewa hela eti ukalipize kisasi?Na inaezekana Inashangaza sana!
 
Poti.... kuna ukweli sema ntu wengine hawaeleweki.
 
Watakuwa wanatambua mawili tuu kati ya uliyo yataja!
 
yep hiyo ndio habari ya mujini! Hahaha nimeipenda hiyo ya kupenda kwa viraka viraka!
 
umesahau moja mkuu nirahisi mwanamke kujifunza kumpenda mtu na akaweza ila sio mwanaume....
 
Hii picha kigezo ilikuwa mdomo??

group+2.JPG

Halafu wachafu!
 
Back
Top Bottom