Wanawake: Je, mlikuwa mnayajua haya?

Wanawake: Je, mlikuwa mnayajua haya?

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Posts
8,809
Reaction score
15,441
black-couple-in-bed1.jpg

1-Kwa kawaida mwanaume huweza kufurahia tendo la ndoa bila hata kumpenda mwanamke, lakini kwa mwanamke, hiyo ni tofauti, kwani hawezi kufurahia tendo la ndoa kama hajampenda mwanaume. Kwa mwanaume tendo la ndoa halihusiani kabisa na kupenda.

group+2.JPG

2-Mwanaume kwa kawaida anapomtamani mwanamke, hamtamani kama yeye kamili, bali humtamani vipande vipande. Hutamani mguu au matiti, midomo au nywele ama hata pua na pengine makalio. Mwanamke kwa mazingira fulani hufurahia jambo hilo, yaani kupendwa huko kwa viraka viraka. Lakini mwanamke hampendi mwanaume kwa viraka viraka bali kama alivyo.

3-Mwanaume huweza kupata ashki hata kufikia kuamsha sehemu zake za siri kwa kutazama picha tu ya sehemu kama matiti, makalio na hata macho. Kwa hali hiyo, mwanaume hawezi kutofautisha kati ya kitu halisi na kitu bandia linapokuja suala la kujamiiana.

shutterstock_44221015.jpg

4-Kwa wanaume kutongoza na kuwapata wanawake wazuri sana, huwa linaonekana kwao kama jambo la sifa na uthibitisho wa udume wao. Kwa hiyo baada ya kutongoza na kukubaliwa, huwa wamemaliza kazi. Suala siyo kutongoza kwa sababu mtu amependa, hapana,ni kwa sababu alitaka kuonesha na kujionyesha
 
Mhhh asante sana kwa taarifa hii Mtambuzi imefanya nijitambue na kujitathmini!
 
ha haa,,ila kwel asee mana kuna dem napenda kwel vidole vyake tena vya miguun
 
Hapo namba moja wanawake wengi hawajui, juzi nilikua namuelimisha mpenzi wangu baada ya yeye kunasa mawasiliano kwenye simu yangu na kukuta kuna wanawake wengi sana.

Akanibana nimwambie ukweli, nikamwambia ukweli kabisa kwamba wengine ni one night stand,wengne wa kawaida nk, akauliza nimewapendaje wote, nikamjibu kwa mwanaume sex inajitegemea na kupenda kunajitegemea, haviendani,sio lazima kulala na mtu uwe unampenda.

Wanawake wengi hawqjui hilo.
 
Labda wasichana na watoto ndo hawajui, ila sie manyani wazee tulokwepa mishale mingi hamtufichi kitu!
 
No 4. is a true story, to stand out you gotta aim for the Stand-out. Difference is, i love them too, so it ain't about getting props only.
 
Back
Top Bottom