Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,393
- 59,137
Relax mbona povu ivyoHata aibu huna, nyie wanawake wa hapa mjini dah!
Relax mbona povu ivyoHata aibu huna, nyie wanawake wa hapa mjini dah!
Miss, hii akili yako ama iko influenced na kilaji😂😂Kwani ni lazima umsitiri? Si umuache aendelee kuhangaika na dunia?
Ukirudiwa jeUkiachwa achika![]()
Ukirudiwa je
Inatufundisha nn?

Aendelee kuangaika na dunia ili nipate maradhiKwani ni lazima umsitiri? Si umuache aendelee kuhangaika na dunia?
DuhKwa upande mwingine kumblock mtu Ni kwamba unamuogopa ama la hutaki mawasiliano nae kivyovyote vile hasa Kama Ni msumbufu, kanuni yangu Ni hii endapo mtu akinilazimisha kumpa ban, tia tofali halafu Ni kufuta namba maisha yanaishia hapo
Nakazia.Umeombwa kumsitiri
Eti kumsitiri mbona kama unamfanyia favour?mi ningekuwa mwanaume kama ndoa ni kumsitiri mwanamke nisingeoa aisee yani unatafuta stress in the name of kusitiri smh
Hebu acheni kujifanya nyie ndoa hamzitaki,mwanaume anae oa yeye pia anauhitaji wa ndoa ndio maana kafanya hayo maamuzi
Kwani shida iko wapi?![]()
Pole mkuu
Kwani ni lazima umsitiri? Si umuache aendelee kuhangaika na dunia?





Nilikua sober kuliko maelezoMiss, hii akili yako ama iko influenced na kilaji
Nimecheka sana
Relax mbona povu ivyo
Mpendwa kwani tatizo ni Nini haswa?wapi nimejisifia uhuni?.. ukiona comment imekukwaza achana nayoUnajisifia uhuni, yani nyinyi wanawake wa zama hizi dah
Mpendwa kwani tatizo ni Nini haswa?wapi nimejisifia uhuni?.. ukiona comment imekukwaza achana nayo


cc bhana looPole sanaaa kwa yalokukuta mkuu vumilia tu ndo mambo ya ndoaWanawake ni waigizaji wazuri sana. Akitokea kiherehere akatangaza ndoa basi mwanamke atachofanya ni kuwatia block ma ex wake wote ili Jamaa amuamini kama kaokota dodo kumbe nyanya chungu. Akishaolewa tu anaanza kuwa unblock ma Ex wote wanakuwa active
NB: Mada haihusiani kabisa na maisha yangu binafsi maana walimwengu hamchelewi![]()