Falmesimba
Member
- Feb 10, 2021
- 40
- 14
Irainauma
Noelia usiniblock Wala kuniwashia airplane mode tafadhali utaondoka na roho yanguKwa upande mwingine kumblock mtu Ni kwamba unamuogopa ama la hutaki mawasiliano nae kivyovyote vile hasa Kama Ni msumbufu, kanuni yangu Ni hii endapo mtu akinilazimisha kumpa ban, tia tofali halafu Ni kufuta namba maisha yanaishia hapo

Kwa upande mwingine kumblock mtu Ni kwamba unamuogopa ama la hutaki mawasiliano nae kivyovyote vile hasa Kama Ni msumbufu, kanuni yangu Ni hii endapo mtu akinilazimisha kumpa ban, tia tofali halafu Ni kufuta namba maisha yanaishia hapo
Nimeandika tu mimiHadi wewe shemeji![]()
😀😀 Siyo Mimi AiseeWewe![]()
Nimeandika tu mimi
Tuko sawasawa nikiweka tofali silitoi ndo kanuni yangu hiyo kabla ya maamuzi hayo huwa nimejiridhisha vya kutosha kuwa sitarudi nyumaBora mtu akublock forever sio anakublock leo then after five days au yakimchachia anakuunblock. Mimi nikikutia block ndio jumla na huwa ni ngumu kufikia hatua hiyo ila ikifikia hvyo nnakuwa sina cha kuendelea na huyo bin adam.
Usinifanyie hivyo mtoto mzuri😍Kwa upande mwingine kumblock mtu Ni kwamba unamuogopa ama la hutaki mawasiliano nae kivyovyote vile hasa Kama Ni msumbufu, kanuni yangu Ni hii endapo mtu akinilazimisha kumpa ban, tia tofali halafu Ni kufuta namba maisha yanaishia hapo
Haya Mambo yananifanyaga nisitamani kuoa asee yanini kujitesa roho
Duuh huu ni ukatili sasaKwa upande mwingine kumblock mtu Ni kwamba unamuogopa ama la hutaki mawasiliano nae kivyovyote vile hasa Kama Ni msumbufu, kanuni yangu Ni hii endapo mtu akinilazimisha kumpa ban, tia tofali halafu Ni kufuta namba maisha yanaishia hapo
😂😂😂 duh! Kwa majibu haya nina uhakika ungekuwa karibu na mtoa mada sasa hivi ungekuwa unatafuta wapi ilipo barafu angalau uchuwechuwe.Kwani ni lazima umsitiri? Si umuache aendelee kuhangaika na dunia?
Sasa hivi ma x, dada poa na wake za watu huwa wanafikishwa buza tu.Hiyo haina shida kikubwa nitamsisitiza asiwabebee mimba tu hilo ndo linaloweza kunikera
Unaoa ili umstiri mtu? Sababu ya kuoa huonyesha utayari na uwezo wa mwanaume kuchagua mke na kumiliki ndoa.Shida ni unampomstiri mtu halafu mwisho wa siku anakuona Tonji
Tuko sawasawa nikiweka tofali silitoi ndo kanuni yangu hiyo kabla ya maamuzi hayo huwa nimejiridhisha vya kutosha kuwa sitarudi nyuma
Usinifanyie hivyo mtoto mzuri😍
😂😂😂Kama huo Ni ukatili Basi Niko vizuri sekta hiyo na nakubali mi Ni katiliDuuh huu ni ukatili sasa
Mimi nikiblock huwa nnaasume huyo mtu haexist tena kwenye dunia yangu namfutilia mbali kabisa na haijawai tokea nikajutia hilo kabisa.