Wanawake huwa mnakwama wapi?

Wanawake huwa mnakwama wapi?

Nyie mnachapa huko kitaa sisi tunaondoa stress kwa Ex's wetu. Ngoma drooooo. ........ANY WAY NATANIA Ila ndivyo ilivyo. Na mm kuna kipindi Ex wangu alikua anapenda kuwasiliana na mm yy kaoa na mm nimeolewa sasa alikua anatake advantage kwa sbb alikua yuko nje huko America anasoma yani vile kunikumbushia zile moment tulizokuwanazo sijui venye tulikua tunafanya. Mhhh badae nikawazaaa si hhyu alioa akaniacha huyuuu au ni mwingine? Leo hii nimeolewa na mm anataka kunifanya revision paper? nikasema noo mume wangu ananipenda sanaaa nisije haribu nikablock mazimaa yani sina namba ya mvulana yoyote mimi. Kwa sbb huwa hawawezi kuvumilia kuwa rfk tuu lazima wanitake tuu.
 
Dah..ingekuwa tuko india ambapo wanawake ndio huoa nisingekubali hadi unioe na mimi tuwe wanaume wawili bonge moja la mwanamke wewe dada
 
Mungu bwana mwacheni tuu huwa nawaza hizo papuchi angewanyang'anya then aweke kwa miti tujisavie tu .......
 
Kuna kitu cha kunifanya niumie, ila sio mapenzi kwa kweli hapana.
 
Nyie mnachapa huko kitaa sisi tunaondoa stress kwa Ex's wetu. Ngoma drooooo. ........ANY WAY NATANIA Ila ndivyo ilivyo. Na mm kuna kipindi Ex wangu alikua anapenda kuwasiliana na mm yy kaoa na mm nimeolewa sasa alikua anatake advantage kwa sbb alikua yuko nje huko America anasoma yani vile kunikumbushia zile moment tulizokuwanazo sijui venye tulikua tunafanya. Mhhh badae nikawazaaa si hhyu alioa akaniacha huyuuu au ni mwingine? Leo hii nimeolewa na mm anataka kunifanya revision paper? nikasema noo mume wangu ananipenda sanaaa nisije haribu nikablock mazimaa yani sina namba ya mvulana yoyote mimi. Kwa sbb huwa hawawezi kuvumilia kuwa rfk tuu lazima wanitake tuu.

Njoo Pm nikupe zawadi yako!ikiwezekana twende Serengeti tukajadiliane vizuri kuhusu hili
 
Shida ni unampomstiri mtu halafu mwisho wa siku anakuona Tonji

Umeombwa kumsitiri
Eti kumsitiri mbona kama unamfanyia favour?mi ningekuwa mwanaume kama ndoa ni kumsitiri mwanamke nisingeoa aisee yani unatafuta stress in the name of kusitiri smh
Hebu acheni kujifanya nyie ndoa hamzitaki,mwanaume anae oa yeye pia anauhitaji wa ndoa ndio maana kafanya hayo maamuzi
 
Mkuu akili kumkichwa na ujinga kumkichwa pia

Oa at your own risk
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom