Wanawake huwa mnakwama wapi?

Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
4,393
7,039
Wanawake ni waigizaji wazuri sana. Akitokea kiherehere akatangaza ndoa basi mwanamke atachofanya ni kuwatia block ma ex wake wote ili Jamaa amuamini kama kaokota dodo kumbe nyanya chungu. Akishaolewa tu anaanza kuwa unblock ma Ex wote wanakuwa active

NB: Mada haihusiani kabisa na maisha yangu binafsi maana walimwengu hamchelewi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom