Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,436
- 92,222
- Thread starter
- #141
Ha ha ha,vinahusiana kabisa mbonaLeo nilimkumbuka mwamba flani id nimesahau.
Slogan yake humu ni kuoa bikira[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Leo hii kitu niliiwaza sana kwasababu kuu 2:
1. Mwanamke aliye liwa liwa sana huwa anafanya ulinganifu aina za kukojozwa[emoji1787][emoji1787]
2. Yuko so confused kwa feelings zake kwani anashindwa yupi ni yupi[emoji1787]
Note: sometimes kuanza na mwanamke mshamba wa wanaume kuna faida katika kudumu kwa mahusiano/ndoa.
Nilikumbuka tu hii haina uhusiano na uzi[emoji28][emoji23]