bubblymolly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2019
- 499
- 714
sijui marimba boss, najua fagio la buibui na tambala la dekiWee cha msingi unajua kuchapa marimba ya m,ungu basi inatosha. Mshahara laki 8. Chakula cha mchana unapata ofisini
sijui marimba boss, najua fagio la buibui na tambala la dekiWee cha msingi unajua kuchapa marimba ya m,ungu basi inatosha. Mshahara laki 8. Chakula cha mchana unapata ofisini
🤣🤣🤣🤣🤣 Utakuja kudeki ofisisijui marimba boss, najua fagio la buibui na tambala la deki
sawa boss ntashkuru...🤣🤣🤣🤣🤣 Utakuja kudeki ofisi
😅 😅 😅 😅Hapo sawa
😂😂😂Hahaha...mkwe wangu kweli mchaga
Kwakweli Bora unyimwe pesa ila swala la dyudyu liacheni tu jaman..yaan mjitahidi Sana muwe na nguvu zenu za asili.Na most ya wanawake ndio moo hivyo.
Mwanamke mnyime pesa lakini sio ushindwe kumkojoza.
Lazima akukimbie n asiwe na appetite na Wewe.
Kwakweli Bora unyimwe pesa ila swala la dyudyu liacheni tu jaman..yaan mjitahidi Sana muwe na nguvu zenu za asili.