Wanawake ‘hit and run’

Wanawake ‘hit and run’

Uko sawa ila tafsiri ya mwanamke mdangaji na mwanaume mdangaji hazifanani, na madhara yake ni tofauti.
Hayo madhara unayajua wewe kwa upande wako,nami kwa upande wangu
 
Ndo maana sipendagi kuchafua gazeti kwenyw show za Mara ya kwanza
 
Hiyo ipo unakuta mwanaume hana analolijua zaidi ya kukuparua na mikucha yake kama simba anataka kumla swala.
Hajui g spot ilipo mnavurugana tu, huwezi rudia hiyo game vinginevyo uwe kwa maslah binafsi
 
Hiyo ipo unakuta mwanaume hana analolijua zaidi ya kukuparua na mikucha yake kama simba anataka kumla swala.
Hajui g spot ilipo mnavurugana tu, huwezi rudia hiyo game vinginevyo uwe kwa maslah binafsi
Ha ha ha,watakuja wamefura hapo....na wanavyojiona perfect... Balaa
 
Back
Top Bottom