Wanawake ‘hit and run’

Wanawake ‘hit and run’

Inatokeaga hii automatically. Siyo kwamba ulipanga noo, ila ndo inatokea Mdada nawe umekuwa hitter&runner 😜

Mnapanga fresh kumeet na jamaa mkakojoleana but cha ajabu unafika kule match hujaielewa, ndo ivo ukiondoka unakuwa umeondoka na blocks kwa sana au kalenda zinaanza, kumbe hujaelewa mchezo, hujaelewa yaani.

So wanaume tukisema tunataka ndoa kabla ya sex muwe mnatuelewa bas, at least huko ndani tutavumiliana. Sometimes money is not everything aisee, kama ambavyo huwa hampendezwi na kitu nasi ni ivoivo kaka zangu.

Kwa wanawake tu kama imewahi kukuta, mwanaume ukisoma ukijisikia kutukana ni ruksa, napokea +ve & -ve comments
Show Mbovu
 
Unajua kuwa na mtu muda mrefu sio ngono tu na jinsi mnavyofurahiana na kushibana na damu zenu kupatana
 
Unajua kuwa na mtu muda mrefu sio ngono tu na jinsi mnavyofurahiana na kushibana na damu zenu kupatana
Yeah,ni kweli cute....but kuna muda utamwitaji kimwili
 
Ni kweli mie siwezi kurudiaga mechi walahi
Yani tatizo la hawa ndugu zetu ukiruhusu match zaidi ya mbili au tatu wanakuwaga na mazoea flani ya kindezi sana. Unaweza kushangaa anakupigia simu usipopokea ukija kupiga wewe inakuwa vita. Huwa nabaki kucheka kwakweli.
 
Back
Top Bottom