Wanawake hili sio poa

miles45

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
3,465
8,277
Jamani wanawake sio kila mwanaume anae taka ukaribu na wewe Basi amekuja kingono . Wengine tunapenda just social interaction tu yaani vile tumekutana Salam story mbili tatu then kila mtu anaendelea na mishe zake.

Mfano;
Tumekuta barabarani ile tumeonana na kugunduana tunafahamiana Basi baada ya smile la kujuana , tunasalimiana, na kujuliana Hali utani kidogo wa mpira Kama ni mashabiki wa mpira theni kuagana alafu kila mtu anakula njia zake.

Sasa nyie ndugu zetu kila mwanaume mbele ya macho yenu ni wa kumpiga mizinga au kuwadinya Dada zangu acheni hayo yanashusha thamani zenu na kuonekana nyie mpo spesho kwa ajiri ya kupewa hela na kunyanduliwa hapana bana .

Kuna mwenzenu huku ni single maza ni mwanamke mwenye mvuto haswa na Nahisi uzuri wake ndio chanzo Cha ndoa yake kufa. Basi mwanaume kamkimbia amebaki na watoto wawili nilijua haya kupia yeye mwenyewe. Sasa Kuna mtoto wake mmoja anafanyiwa ubatizo Basi katika story hizo nikamwambia mbona hukuniambia mapema Kama wakina uncle wanasherehe na Mimi nitoe japo zawadi yangu kidogo ....alafu nikamuambia isiwe kesi nafasi bado ipo tukawa tumeachana nikaenda mpesa nikamtumia kakitu.......eeee .....eeee... Nakuta meseji zinaanza kumiminika za Asante mme wangu..... Mme wangu kazi zimeendaje.....usiku mwema mme wangu...nk

Pamoja na meseji zote hizo kiukweli nimepigwa na butwaa sijajibu meseji hata moja. Nashangaa tu imekuaje au siku hizi mpesa ukituma pesa Wana huduma ya kukutongozea kabisa

Wanawake acheni hizo Mambo
 
Samahani wadada
Hakuna watu wajinga na wapumbavu kama wadada wa Kibongo.
Ukiwa na pesa utawatafuna mpaka uchoke.
Acheni umalaya, njaa zitawaua, fanyeni kazi mpate heshima.
Hivi mnatatizo gani, hadi ofisini wote tunalipwa sawa ila tunawabandua kwa elfu 20 au 10 acheni tamaa
 
Jamani wanawake sio kila mwanaume anae taka ukaribu na wewe Basi amekuja kingono . Wengine tunapenda just social interaction tu yaani vile tumekutana Salam story mbili tatu then kila mtu anaendelea na mishe zake.

Mfano;
Tumekuta barabarani ile tumeonana na kugunduana tunafahamiana Basi baada ya smile la kujuana , tunasalimiana, na kujuliana Hali utani kidogo wa mpira Kama ni mashabiki wa mpira theni kuagana alafu kila mtu anakula njia zake.

Sasa nyie ndugu zetu kila mwanaume mbele ya macho yenu ni wa kumpiga mizinga au kuwadinya Dada zangu acheni hayo yanashusha thamani zenu na kuonekana nyie mpo spesho kwa ajiri ya kupewa hela na kunyanduliwa hapana bana .

Kuna mwenzenu huku ni single maza ni mwanamke mwenye mvuto haswa na Nahisi uzuri wake ndio chanzo Cha ndoa yake kufa. Basi mwanaume kamkimbia amebaki na watoto wawili nilijua haya kupia yeye mwenyewe. Sasa Kuna mtoto wake mmoja anafanyiwa ubatizo Basi katika story hizo nikamwambia mbona hukuniambia mapema Kama wakina uncle wanasherehe na Mimi nitoe japo zawadi yangu kidogo ....alafu nikamuambia isiwe kesi nafasi bado ipo tukawa tumeachana nikaenda mpesa nikamtumia kakitu.......eeee .....eeee... Nakuta meseji zinaanza kumiminika za Asante mme wangu..... Mme wangu kazi zimeendaje.....usiku mwema mme wangu...nk

Pamoja na meseji zote hizo kiukweli nimepigwa na butwaa sijajibu meseji hata moja. Nashangaa tu imekuaje au siku hizi mpesa ukituma pesa Wana huduma ya kukutongozea kabisa

Wanawake acheni hizo Mambo
Hio inaitwa Full package
 
yaani tukutane barabarani, tusalimiane,utake kunijua, unitanie, kama shabiki wa mpira uanze story za mpira mimi nipo tu nimesimama tu nakusikiliza??

tumekutana tumesalimiana imetosha utajuana na kutaniana na wangapi kwa style hii?? s utachelewa unapokwenda weee??
 
Huo mpira ni mfano tu .... Hapa inategemeana tutakua tunafahamianaje ...sijasema kila mwanamke njiani Basi ni kumpigisha story Dada angu
 
Au tuanze kuwapa bure tu na mkitupatia baada ya mnyanduo tukatae.Nadhan hapo mtaelewa kwamba nasi huwa tunataka kukunwa jaman
Ndio mutuite waume zenu gafla tu jaman . Hivi fikiria mtu ambaya hata hajakuonesha dalili zozote za mapenzi gafla bin vuuuu tu anakuita mke wangu Tena ya hisia
 
Back
Top Bottom