BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,188
- 14,345
Hii mbn km ugomvi wa mpangaji wangu na mkewe, ilikua juzi tu,yule mwanamke kaondoka kweliHapa mtaani Kuna mgogoro umetokea Mume na mke wamepigana makonde usiku huu sasa kilichonishtua ni confidence ya huyu mwanamke
Anamtukana Mume wake matusi ya nguoni kilichonishangaza ni kauli yake eti amuache aishi maisha yake kama amemchoka amuache kwani Kuna Wanaume wengi wanamtaka cha ajabu ana watoto wawili wadogo.
Aisee wahuni acheni kuwalaghai wake za watu how come unakuwa interested na mke wa mtu mwenye watoto wawili..
MrudisheHii mbn km ugomvi wa mpangaji wangu na mkewe, ilikua juzi tu,yule mwanamke kaondoka kweli
Ila nahisi wanawake Wana enjoy sana wakiwa single,ili wafanye mambo Yao kwa uhuru zaidi
Usiumize kichwa mkuu huyo mwanamke ni mwaminifu tu Kwa mumewe sema anataka kumkera mwanaume wake tu π π π πHapa mtaani Kuna mgogoro umetokea Mume na mke wamepigana makonde usiku huu sasa kilichonishtua ni confidence ya huyu mwanamke
Anamtukana Mume wake matusi ya nguoni kilichonishangaza ni kauli yake eti amuache aishi maisha yake kama amemchoka amuache kwani Kuna Wanaume wengi wanamtaka cha ajabu ana watoto wawili wadogo.
Aisee wahuni acheni kuwalaghai wake za watu how come unakuwa interested na mke wa mtu mwenye watoto wawili..
Tatizo wengi wao huwa wanakwama wanalazimika kurejea kwa waume zao.Hii mbn km ugomvi wa mpangaji wangu na mkewe, ilikua juzi tu,yule mwanamke kaondoka kweli
Ila nahisi wanawake Wana enjoy sana wakiwa single,ili wafanye mambo Yao kwa uhuru zaidi
Wameachana tayari,demu ana MTU mwingine na jamaa nae kavuta chombo mpyaMrudishe
Kataa ndoa wanaendelea kuvuna alamaHii mbn km ugomvi wa mpangaji wangu na mkewe, ilikua juzi tu,yule mwanamke kaondoka kweli
Ila nahisi wanawake Wana enjoy sana wakiwa single,ili wafanye mambo Yao kwa uhuru zaidi
Mwaminifu kagoma kutoa password kwenye simuUsiumize kichwa mkuu huyo mwanamke ni mwaminifu tu Kwa mumewe sema anataka kumkera mwanaume wake tu π π π π
Interest ni free botiπ kwenye kulamba lolo. Vinginevyo hamna mtu anaweza kuvutiwa na mke wa mtu kama anakupa majukumu ya kumpa fedha.Hapa mtaani Kuna mgogoro umetokea Mume na mke wamepigana makonde usiku huu sasa kilichonishtua ni confidence ya huyu mwanamke
Anamtukana Mume wake matusi ya nguoni kilichonishangaza ni kauli yake eti amuache aishi maisha yake kama amemchoka amuache kwani Kuna Wanaume wengi wanamtaka cha ajabu ana watoto wawili wadogo.
Aisee wahuni acheni kuwalaghai wake za watu how come unakuwa interested na mke wa mtu mwenye watoto wawili..
Mwanamke ambaye anakasirika kuwa chini ya mwamvuli wa mume jua ana asili ya umalaya. Huyo ukioa lazma atakuwa anafirigiswa kimya kimya na siku ukianza kumshtukia lazma mgombane kwa ugomvi mkubwa mno.Hii mbn km ugomvi wa mpangaji wangu na mkewe, ilikua juzi tu,yule mwanamke kaondoka kweli
Ila nahisi wanawake Wana enjoy sana wakiwa single,ili wafanye mambo Yao kwa uhuru zaidi