Poise
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 7,659
- 7,948
Wanaume wanayo haki ya kimbingu (divine right) ya kujamiiana na wanawake zaidi ya mmoja kwa mujibu wa maandiko matakatifu. Mwanamke anayezini anapaswa kupigwa mawe mpaka
Duuuuuuuuh, sasa Wanawake si watamalizika kwa kupigwa mawe!?
Any way, hizi dini uchwara za kigeni zinaudhaifu sana!
Kwa nini, wanaume waachiwe japo ndiyo kutwa nzima huwafuata wanamke ili wawape papuchi!!