Wanawake Heshima kwenu

Wanawake Heshima kwenu

Wanaume wanayo haki ya kimbingu (divine right) ya kujamiiana na wanawake zaidi ya mmoja kwa mujibu wa maandiko matakatifu. Mwanamke anayezini anapaswa kupigwa mawe mpaka


Duuuuuuuuh, sasa Wanawake si watamalizika kwa kupigwa mawe!?

Any way, hizi dini uchwara za kigeni zinaudhaifu sana!
Kwa nini, wanaume waachiwe japo ndiyo kutwa nzima huwafuata wanamke ili wawape papuchi!!
 
Nyie wanawake nimenyoosha mikono mtu anakupa kila kitu anapiga mashine kwa kusimamia kucha kama hana akili ila bado mnasaliti dah naomba niwape heshima kwenu nyie viumbe wakipekee
Tukigeukia upande wenu.. mdada hata azungushe kiuno vipi aruke sarakasi vipi kitandani still hamridhiki
acha sindano ikuingie vizuri...mkuki kwa ngurue mtamu eeee [emoji23] [emoji23]
 
Nyie wanawake nimenyoosha mikono mtu anakupa kila kitu anapiga mashine kwa kusimamia kucha kama hana akili ila bado mnasaliti dah naomba niwape heshima kwenu nyie viumbe wakipekee
Kusimamia wapi wewe unaweza simamia kwenye mtelemko chombo kikaenda chenyewe halafu ukajisifu umeendesha wakati chombo kilishuka chenyewe shughuli pia kilimani simamia ikiwa wewe ni mwanaume wewe unachanga mara mbili eti nimesimamia vidole ongea na mwenzio[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] jiwe gizani hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara oooh, Kata nyusi, Ooh paka poda, Mara usivae soksi ukivaa viatu, maraa tule matunda tu bila chakula Kama wali na vyakula vingine.

Inahitaji elimu, uvumilivu, na akili kuishi nao. Ukitumia ugali na samaki basi mke /wanawake watakuzingua sana.

Any way, no men can predict Women's action even for a second.
Vise versa is true#men
 
Maisha ya mwanamke , kuhusu usaliti huwa hamna formula kabisa.

Mwanamke, anaweza akatulia hadi ukadhani kuwa papuchi yake imeziba au amemwazima mwanamke mwenzie.
Kisha uyo huyo, akawa kama Simba anapokuwa nyikani akiwinda msosi.

Wanawake, shikamooooooooo.
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Mara oooh, Kata nyusi, Ooh paka poda, Mara usivae soksi ukivaa viatu, maraa tule matunda tu bila chakula Kama wali na vyakula vingine.

Inahitaji elimu, uvumilivu, na akili kuishi nao. Ukitumia ugali na samaki basi mke /wanawake watakuzingua sana.

Any way, no men can predict Women's action even for a second.
 
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
..ndiyo hivyo mkuu .
Yaani, inabidi tu umheshimu mwanamke. Ila mtu asikundanganye kuwa utapambana naye hapo utabakia na mbavu kavu.
 
Hahahaaaaa!!!!
Pole sana mkuu.
Una hakika unasimamia kucha? Au unahisi tu kuwa unasimamia kucha!!!
 
Back
Top Bottom