Wanawake hawawezi kuvumilia ukweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake hawawezi kuvumilia ukweli

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by BABA JUICE, Apr 8, 2011.

 1. BABA JUICE

  BABA JUICE JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 428
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kuna huyu mwanamke ambaye nikiwa kijana nilimfuatilia kwa muda wa miaka minne alikuwa bikra hakuwai kumuona mwanaume..tumekuwa marafiki kwa muda wote huo..sasa ikafika kipindi urafiki ubadilike tuwe wapenzi basi akataka niewe wazi, nikamwambia hisia zangu na ukweli kuhusu maisha yangu yote ya mapenzi......huwezi amini aliondoka akiwa kawaida lakini toka siku hiyo mawasiliano yakapungua na sikumuona tena na sababu zikawa nyingi. mwisho wasiku alimpata mtu ambaye alikuwa mchafu kuliko mimi. so women why you cant handler the truth?
   
 2. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Na wewe ni mchafu? ni degree tu?Mchafu ni mchafu tu! Hata wewe ulikuwa humfai ni mchafu!
   
 3. M

  Marytina JF-Expert Member

  #3
  Apr 8, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  una kasoro iliyomkwaza sana bcs alishakujua na kukukataa alikuwa na uhakika na anachokifanya.Kama ungekuwa poa lazima angekubali as far as anakujua vizuri.
   
 4. Nemo

  Nemo JF-Expert Member

  #4
  Apr 8, 2011
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 80
  How is that not handling the truth?

  Baba Juice:
  You are assuming that the reason she left is the so called truth that you revealed about yourself. Lakini , since by own words umesema alienda kwa jamaa mwingine mchafu zaidi ya wewe, ninavyoona you are the one who is not handling the plain and simple truth that, " She was just not interested "!!!!
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Apr 8, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  du hii kare
   
 6. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #6
  Apr 8, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,460
  Likes Received: 3,715
  Trophy Points: 280
  Kwa miaka 8 tayari alikwisha kukufahamu vya kutosha sasa ulikuwa unataka avumilie nini wewe ni mchafu kama ulivyosema mwenyewe na hukuweza kubadili huo uchafu wako ndio maana amekukacha hayo unayosema amepata mchafu ni wewe umesema kwa vile umemkosa. Msemo wa Sungura sizitaki mbichi hizi.
   
 7. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #7
  Apr 8, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  safi sana. me nilipost thread hapa ikiuliza ni kweli kua wanawake wanpenda kudanganywa? baadhi ya watu wakanishambulia.
  umeona sasa, kama ungemdanganyatu ulikua umesha chukua hyo mali, ila suala la wewe kua honest ulimpoteza.
  hawa we danganyatu!
   
 8. N

  Nasolwa JF-Expert Member

  #8
  Apr 8, 2011
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,830
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hata wewe naona huwezi kuvumilia ukweli kwamba huyo mwanamke kakutosa
   
 9. P

  Pokola JF-Expert Member

  #9
  Apr 8, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 717
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  :tape:
   
 10. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #10
  Apr 8, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Mwanamke na mwanaume woote wapo kwa ajili ya uongo tuu hebu fikilia mwanaume unaambiwa na mwanamke kuwa amepitiwa na wanaume 10 si ungekimbia mkuu? NI USANII TU!
   
 11. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #11
  Apr 8, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Sometimes truth haimset mtu free usibabaike na misemo ya wazungu ukai aply kwa demu wa kibongo hapa hatuwezi kuhandle hiyo kitu aisee tushazoea kudanganywa tu na atakaekwambia ukweli utamuona **** tu
   
 12. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #12
  Apr 9, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Sijui kwa ambao hawawezi. Ukweli na uongo kwangu vinavumilika.
   
Loading...