Wanawake hawasifihani uzuri wa sura?

Wanawake hawasifihani uzuri wa sura?

wadau, je ni kweli ni vigumu kwa mwanamke kumsifia mwanamke mwenzake kwamba ni mzuri wa sura, pia inasemekana mwanamke ujisikia vibaya pale ambapo mwanamke mwengine anaposifiwa mbele yake. je wadau hili swala ni la kweli? na kama ni kweli ni kwasababu gani hawasifihani?
Si kweli,mbona wanawake wengi sana wanasifiana me nachojua wanaume ndo hua hawasifiani japo kwa physical appearance!
 
Kongosho huwa namsifia kila siku kuwa ni mkareee ile mbaya! King'asti huwa namwambia kabisa kuwa ni mcute hadi basi Kaunga huwa namsifia kila sku kuwa jishepu lake linaniacha hoi ile mbaya cacico huwa siachi kumwambia miguu yake ni bomba mno

Utakuwa lesbo wewe, utauoanaje uzuri wa mwanamke mwenzako??? Unatakiwa kunotice uhandii wa mwanaume bwana. Mimi nina tuelement twa ulesbo ndio maana nakuzimikia na nishamuomba The Boss tuifanye ile fantasy yake ambayo kaigeuza reality ya sliisam! LOL

Note: HORSE POWER kasema mwanaume kumsifia mwanaume wake inaleta maswali, so na mwanamke kumsifia mwanamke mwenzake kwanini isilite maswali?????
 
Last edited by a moderator:

ahahahahahhaha ila ngoja kwanza !mwanaume mwenyewe wa kumuona handiii nani? The Boss uuuuwih!nani anataka kuambiwa ur handsome too!sitaki!
kwenye sriiisome nahis ataanza kuremba ujue!we are too lesbo for him!
 
Last edited by a moderator:
Utakuwa lesbo wewe, utauoanaje uzuri wa mwanamke mwenzako??? Unatakiwa kunotice uhandii wa mwanaume bwana. Mimi nina tuelement twa ulesbo ndio maana nakuzimikia na nishamuomba The Boss tuifanye ile fantasy yake ambayo kaigeuza reality ya sliisam! LOL

Note: @Horse power kasema mwanaume kumsifia mwanaume wake inaleta maswali, so na mwanamke kumsifia mwanamke mwenzake kwanini isilite maswali?????

be careful on what you wish for...
 
wadau, je ni kweli ni vigumu kwa mwanamke kumsifia mwanamke mwenzake kwamba ni mzuri wa sura, pia inasemekana mwanamke ujisikia vibaya pale ambapo mwanamke mwengine anaposifiwa mbele yake. je wadau hili swala ni la kweli? na kama ni kweli ni kwasababu gani hawasifihani?

huyo dada basi anaroho mbaya..
 
Back
Top Bottom