DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 13,902
- 31,152
Natumai ni wazima na sikukuu imeenda poa kwenu.
Moja Kwa moja kwenye mada,unapotafuta mwenza either Kwa kuoa au ile sogea tukae lengo ni kuukacha ukapela na kupata msaidizi.
Inatokea maisha yanakua vizuri tu mwanaume una uwezo wa kulisha familia na ABC zingn hazipigi chenga.
Lakini katika maisha siku hazifanani, Kuna wakati mambo yatayumba utapoteza kazi yako, utakua huna uwezo wa mtoa out tena😓
Na kumpa mambo mengn ulokua unampa wakati wa nyuma, heshima inapotea
Binti anaanza dharau, kuchelewa kurudi kazini😓
Unyumba Kwa mbinde na mengn mengi.
Ukiona hayo yote yanatokea tambua tu kwamba mwanamke hajaumbwa kua provider wa familia na ukiona kaweza kuubeba msalaba wa familia ujue imemlazimu tu mume wake kafa either au talaka.
Point apa ni kutafuta pesa kuepusha dharau za hapa na pale