Wanawake hawajumbiwa ku provide, tutafute hela

Wanawake hawajumbiwa ku provide, tutafute hela

Ni uhuru wa kutoa Maoni.

Lakini kiukweli kabisa ulichokiandika ni totally Wrong.

Hamujui historia, Hamujui kazi za Wanawake.
Tukipata nafasi tutatoa Darasa
Ongeza nyama nyama hapa
 
Natumai ni wazima na sikukuu imeenda poa kwenu.
Moja Kwa moja kwenye mada,unapotafuta mwenza either Kwa kuoa au ile sogea tukae lengo ni kuukacha ukapela na kupata msaidizi.

Inatokea maisha yanakua vizuri tu mwanaume una uwezo wa kulisha familia na ABC zingn hazipigi chenga.
Lakini katika maisha siku hazifanani, Kuna wakati mambo yatayumba utapoteza kazi yako, utakua huna uwezo wa mtoa out tena[emoji29]
Na kumpa mambo mengn ulokua unampa wakati wa nyuma, heshima inapotea
Binti anaanza dharau, kuchelewa kurudi kazini[emoji29]
Unyumba Kwa mbinde na mengn mengi.
Ukiona hayo yote yanatokea tambua tu kwamba mwanamke hajaumbwa kua provider wa familia na ukiona kaweza kuubeba msalaba wa familia ujue imemlazimu tu mume wake kafa either au talaka.

Point apa ni kutafuta pesa kuepusha dharau za hapa na pale

Sio kweli [emoji35]
Soma Proverbs 31 yote!
Usilete maneno ya uwongo!
 
omba omba lazima wakuunge mkono

vipi ile 50 50 hua ina apply wapi mtoa mada ? kwenye taking peke yake au pamoja na giving ?
 
Yote tisa,kumi ni kupata mwanamke ATAKAYEKUPENDA KWA DHATI basiii...mwanamke akikupenda atavumilia kwa kila jambo,tatizo lenu mnaokota okota tu ovyo wanawake!
Kukupenda kwa dhati ni kitu gani mkuu??Hakuna mwanamke anayevumilia maisha duni, wanalilia chinichini tu....wanakausha mkuu...Tupambane
 
Back
Top Bottom