Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 30,573
- 88,389
Niombee sana🤦🏽♀️Kweli umenizidi kidogo shem, pwagu na pwaguzi
Niombee sana🤦🏽♀️Kweli umenizidi kidogo shem, pwagu na pwaguzi
Babu na mjukuu wakose kusimuliana visa vya zamani kweli?Tunakuwa tunaongea nini babu wee
Hiyo hata machokoraa wanafanyaKupeleka moto
Ambavyo mmoja hakuwepo🫢Babu na mjukuu wakose kusimuliana visa vya zamani kweli?
Pesa ni kila kitu, hata wanaume hawapendi wanawake ambao hawana pesa.Sisi tunapenda hela, hatupendi tunajifanya tunakupenda ila kiundani hatuna mapenzi nawe kabisa.
Tunapenda hela sasa
Nataka siku moja tupange mechi humu aiseeee maana naona kuna watu wanapenda kupima hasira zangu..Poor Brain marafiki zako wanazidi kuongezeka, alikua haszu tu saivi kaongezeka na huyu.
Yeah, nimeacha kuwasikiliza wapita njia 😎Kabisaa! Porojo achana nazo ba mjengo👌🏽
Bwashee Seran hawezi kunichiti. Labda unionesha ushahidi wa video ndipo nitashawishika.
Kabisaa! Porojo achana nazo ba mjengo👌🏽
Kakushika pabayaaa, kwenye kende kabisa ukisema nywii anaminyaa 🤣Yeah, nimeacha kuwasikiliza wapita njia 😎
Najua tu walio nje wakiona wapendanao wanafurahi lazima waanze kuzungumzia masuala mazima ya limbwata.Kakushika pabayaaa, kwenye kende kabisa ukisema nywii anaminyaa 🤣
Badala uwaze kufanya KAZI unaweza kuombaomba.Sisi tunapenda hela, hatupendi tunajifanya tunakupenda ila kiundani hatuna mapenzi nawe kabisa.
Tunapenda hela sasa
Sasa unafikiri nn, hata ushahidi hujautaka.. bibie kaweza 🙌 haya me niko pale nawazoom ila mtaachana tu.Najua tu walio nje wakiona wapendanao wanafurahi lazima waanze kuzungumzia masuala mazima ya limbwata.
Tutadumu na utashangaa.Sasa unafikiri nn, hata ushahidi hujautaka.. bibie kaweza 🙌 haya me niko pale nawazoom ila mtaachana tu.
Aiseeew! Furaha yako tuachane sio🙄Kakushika pabayaaa, kwenye kende kabisa ukisema nywii anaminyaa 🤣
hahahahaNdomana wako radhi watoe
Jicho kikubwa hela tu
Ova
Free Red Black 🏃🏾🏃🏾🏃🏾Aiseeew! Furaha yako tuachane sio🙄
Muache yuko na bi mdogo saizi unawapigia kelele😁Free Red Black 🏃🏾🏃🏾🏃🏾